Tony254 kwa namna Kenya ilivyo kila kitu kizuri na high quality ni private sector mfano hospital, schools, universities mpaka barabara ni ngumu sana kupata wanahitimu wenye Intel kubwa and best academic performers from public schools
Huyu kapiga division 1.3 A level na kwa elimu yenu ni graduate kabisa huyu lakini kwa Tanzania ni secondary student wa public schools
Uongo uongo uongo hio. Tanzania High school private schools zinashinda private schools kwa matokeo ilhali Kenya publics schools perform the best. Kenya ikona straight A's students wengi kwa kila mtihani na ni jambo tu la kawaida.