bado mziki wenu ni duni,ndio maana music/media tour za wanamuziki wenu wengi ni within kenya(mombasa,western and central kenya).
most of your music artist can not conduct massive music/media tours outside kenya cos are not known internationally.
wanamuziki pekee wa kenya ambao walikuwa na muelekeo wa kimataifa ni sauti sol,sijui wamepatwa na masahibu gani.
2017 ni kama sio mwaka wa bahati kwao.hawasikiki.
calif jones na wengineo bado wapo ki-local sana japo wanajitahidi.
wana safari ndefu ya kujijenga kimataifa.imagine calif jones mpaka leo hajawahi perform dar es salaam.
kama aliwahi basi his performance wasn't successful, maana EA yote ingejua kuwa calif yupo dar es salaam.
sisi wanamuziki wetu kila siku wanazunguka dunia wakialikwa kutumbuiza katika nchi mbali mbali sambamba na kufanya media tour.
take a look at this,pay a closer attention to the tagged location or places mentioned on the caption.