Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

truthslinger2.jpg
 
Hii ndio tunaita denial. Majumba mengine hapo yanajengwa. Jionee mwenyewe uwache machungu🙂
Nairobi Metro Region - SkyscraperCity

Umenifumbua macho. Pamoja na kelele zoooote bado Dar inawafunika katika majengo mengi yenye zaidi ya 30 floors.
Angalia hapa.

NAIROBI ------------------------------- DAR ES SALAAAM
1.Prism Tower ................................Millenium towers 2
2.UAP Tower...................................TPA Tower
3.AVIC (1) 45..................................PSPF Tower 1
4.AVIC (2)35..................................PSPF Tower 2
5.Pinnacle (1)70..............................Mzizima Commercial Tower 1
6.Pinnacle (2)..................................Mzizima Residential
7.Britam Tower...............................PPF HQ
8 Montave .....................................MNF 1
9Times tower ...................................MNF 2
10.................................................Rita Tower

Nimejifunza kitu kingine pia, Hivi vitu vinafanyika sasa hivi kwenu, hivyo ni vipya, hamna utamaduni nao ndio maana kuna mtu eti kaanziasha thread ya ku clad prism? je hiki ni kitu kipya kwenu? nikagundua ndio , ni jengo la kwanza la vioo vitupu, mengine yote ni either terracota au concrete .🙂 hapo juu kwa mfano majengo yetu yote yamekamilika au yapo at least 70% complete mfano mzizima , mnf na Ppf Hq, Yenu mfano Pinnacle na montavu ndio kwanzaaa mnachimba mafuta 😀😛, afadhali AVic Imepamba moto. lakini , Dar is still kicking 😎😎😎 ashtray😀.

My take. ki gezaulole: Ni aibu kukimbizwa hivi na kaanchi mnachokadharau kila siku kwa steriotype yenu iliyopitwa na wakati.
Hayo majengo kama mlijenga miaka ya mwishoni mwa 1990 na mwanzoni mwa 2000 tungekuwa tunawapa heshima zenu. sasa heshima itoke wapi wakati tunatembelea kichwa wote.

Mambo mengi mnayoongea na kutenda yametufunza vitu vingi sana kutoka kwenu developed Nation.😀 ambavyo haviendani hata Robo. IMO
 
wewe sijui ni wivu ama ni vile hukuzaliwa mkenya. Sio kila kitu ni render. Wacha nikufunze English
Rendering or image synthesis is the automatic process of generating a photorealistic or non-photorealistic image from a 2D or 3D model (or models in what collectively could be called a scene file) by means of computer programs. Also, the results of displaying such a model can be called a rendering.
Building za Nairobbi most tunapost hapa zishapita hio stage, including malls. Ziko U/C Under Construction, T/O Topped Out ama Site Preparation.
Render nikama Upper Hill Square but ata hao wako na land ni vile hawajaanza kazi. Pinnacle, 300++ metres wako U/C so past render
Usitumie nguvu nyingi kuniaminisha pole sana bro
Ww endelea kupost renders uliko wewe mm niko
Kama ukichoka kupost renders pumzika bro
😀😀😀😀😀😀😀
 
I have leant something from Jay and other Kenyans. If they see a Tanzanian has posted good pictures, Kenyans make sure they also post theirs even the ugly ones. If you have nothing to post you better chill, instead of posting uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio render ndugu wala usishtuke hakuna jengo kama hilo nairobi😀😀😀😀😀😀😀
 
Umenifumbua macho. Pamoja na kelele zoooote bado Dar inawafunika katika majengo mengi yenye zaidi ya 30 floors.
Angalia hapa.

NAIROBI ------------------------------- DAR ES SALAAAM
1.Prism Tower ................................Millenium towers 2
2.UAP Tower...................................TPA Tower
3.AVIC (1) 45..................................PSPF Tower 1
4.AVIC (2)35..................................PSPF Tower 2
5.Pinnacle (1)70..............................Mzizima Commercial Tower 1
6.Pinnacle (2)..................................Mzizima Residential
7.Britam Tower...............................PPF HQ
8 Montave .....................................MNF 1
9Times tower ...................................MNF 2
10.................................................Rita Tower

Nimejifunza kitu kingine pia, Hivi vitu vinafanyika sasa hivi kwenu, hivyo ni vipya, hamna utamaduni nao ndio maana kuna mtu eti kaanziasha thread ya ku clad prism? je hiki ni kitu kipya kwenu? nikagundua ndio , ni jengo la kwanza la vioo vitupu, mengine yote ni either terracota au concrete .🙂 hapo juu kwa mfano majengo yetu yote yamekamilika au yapo at least 70% complete mfano mzizima , mnf na Ppf Hq, Yenu mfano Pinnacle na montavu ndio kwanzaaa mnachimba mafuta 😀😛, afadhali AVic Imepamba moto. lakini , Dar is still kicking 😎😎😎 ashtray😀.

My take. ki gezaulole: Ni aibu kukimbizwa hivi na kaanchi mnachokadharau kila siku kwa steriotype yenu iliyopitwa na wakati.
Hayo majengo kama mlijenga miaka ya mwishoni mwa 1990 na mwanzoni mwa 2000 tungekuwa tunawapa heshima zenu. sasa heshima itoke wapi wakati tunatembelea kichwa wote.

Mambo mengi mnayoongea na kutenda yametufunza vitu vingi sana kutoka kwenu developed Nation.😀 ambavyo haviendani hata Robo. IMO
pinnacle na montave bado wanachimba mafuta na gas
Zimebaki history in kenya😀😀😀
Ila waendelee kupost renders atleast wajifariji maana inawatia uchungu sana

Bro usiendelee kuwatia pressure plz😛😛 watakimbia thread bado tunawahitaji sana
 
Umenifumbua macho. Pamoja na kelele zoooote bado Dar inawafunika katika majengo mengi yenye zaidi ya 30 floors.
Angalia hapa.

NAIROBI ------------------------------- DAR ES SALAAAM
1.Prism Tower ................................Millenium towers 2
2.UAP Tower...................................TPA Tower
3.AVIC (1) 45..................................PSPF Tower 1
4.AVIC (2)35..................................PSPF Tower 2
5.Pinnacle (1)70..............................Mzizima Commercial Tower 1
6.Pinnacle (2)..................................Mzizima Residential
7.Britam Tower...............................PPF HQ
8 Montave .....................................MNF 1
9Times tower ...................................MNF 2
10.................................................Rita Tower

Nimejifunza kitu kingine pia, Hivi vitu vinafanyika sasa hivi kwenu, hivyo ni vipya, hamna utamaduni nao ndio maana kuna mtu eti kaanziasha thread ya ku clad prism? je hiki ni kitu kipya kwenu? nikagundua ndio , ni jengo la kwanza la vioo vitupu, mengine yote ni either terracota au concrete .🙂 hapo juu kwa mfano majengo yetu yote yamekamilika au yapo at least 70% complete mfano mzizima , mnf na Ppf Hq, Yenu mfano Pinnacle na montavu ndio kwanzaaa mnachimba mafuta 😀😛, afadhali AVic Imepamba moto. lakini , Dar is still kicking 😎😎😎 ashtray😀.

My take. ki gezaulole: Ni aibu kukimbizwa hivi na kaanchi mnachokadharau kila siku kwa steriotype yenu iliyopitwa na wakati.
Hayo majengo kama mlijenga miaka ya mwishoni mwa 1990 na mwanzoni mwa 2000 tungekuwa tunawapa heshima zenu. sasa heshima itoke wapi wakati tunatembelea kichwa wote.

Mambo mengi mnayoongea na kutenda yametufunza vitu vingi sana kutoka kwenu developed Nation.😀 ambavyo haviendani hata Robo. IMO
KICC, Montave 2, Hazina? zote ziko over 30. Pia mkitaka kulinganisha na floors basi tutaje over 40 floors tuone hahaha
Na 1990s na early 2000s tulikuwa under dictatorship ya Moi, who looted this countr. Economy yetu ilikuwa 12.9 billion in 1999 na yenu 9.68 same year. So hakuna tofauti kubwa Wakati wa kibaki ndio tumeanza kuenda boom.
 
Na Ndinda with all due respect Dar hakuna picha za estates na any other thing nyinyi hupost hapa. Ata streets nikama hamna.
 
Umenifumbua macho. Pamoja na kelele zoooote bado Dar inawafunika katika majengo mengi yenye zaidi ya 30 floors.
Angalia hapa.

NAIROBI ------------------------------- DAR ES SALAAAM
1.Prism Tower ................................Millenium towers 2
2.UAP Tower...................................TPA Tower
3.AVIC (1) 45..................................PSPF Tower 1
4.AVIC (2)35..................................PSPF Tower 2
5.Pinnacle (1)70..............................Mzizima Commercial Tower 1
6.Pinnacle (2)..................................Mzizima Residential
7.Britam Tower...............................PPF HQ
8 Montave .....................................MNF 1
9Times tower ...................................MNF 2
10.................................................Rita Tower

Nimejifunza kitu kingine pia, Hivi vitu vinafanyika sasa hivi kwenu, hivyo ni vipya, hamna utamaduni nao ndio maana kuna mtu eti kaanziasha thread ya ku clad prism? je hiki ni kitu kipya kwenu? nikagundua ndio , ni jengo la kwanza la vioo vitupu, mengine yote ni either terracota au concrete .🙂 hapo juu kwa mfano majengo yetu yote yamekamilika au yapo at least 70% complete mfano mzizima , mnf na Ppf Hq, Yenu mfano Pinnacle na montavu ndio kwanzaaa mnachimba mafuta 😀😛, afadhali AVic Imepamba moto. lakini , Dar is still kicking 😎😎😎 ashtray😀.

My take. ki gezaulole: Ni aibu kukimbizwa hivi na kaanchi mnachokadharau kila siku kwa steriotype yenu iliyopitwa na wakati.
Hayo majengo kama mlijenga miaka ya mwishoni mwa 1990 na mwanzoni mwa 2000 tungekuwa tunawapa heshima zenu. sasa heshima itoke wapi wakati tunatembelea kichwa wote.

Mambo mengi mnayoongea na kutenda yametufunza vitu vingi sana kutoka kwenu developed Nation.😀 ambavyo haviendani hata Robo. IMO
Fungeni thread basi mjitangaze washindi....when you bad mouth us you expect us to clap for you...mhh. ..and when an honest opinion is made about your estates and roads which cannot match and compete the ones in Nairobi mnakasirika. ....mmh. and you only talk about towers in all your arguments. ...Paris or Venice has very minimal towers but those are cities everyone dreams of living in.up to now apart from the BRT project I can't see anything that Dar outshines Nairobi in.

Drops mic
 
Na bado wakiona super tall zikijengwa wanalia renders hahahaha
 
Fungeni thread basi mjitangaze washindi....when you bad mouth us you expect us to clap for you...mhh. ..and when an honest opinion is made about your estates and roads which cannot match and compete the ones in Nairobi mnakasirika. ....mmh. and you only talk about towers in all your arguments. ...Paris or Venice has very minimal towers but those are cities everyone dreams of living in.up to now apart from the BRT project I can't see anything that Dar outshines Nairobi in.

Drops mic

And my point is Your "Makelele "do not match what you have . You guys are talking like someone from the first world. (New York , London, Paris etc) while you are still developing now. There is no Huge gap, especially from the LDC country. Na sio aibu kushindana na mtu wa chini yako? Hivi mtu kutoka New York anaweza kupoteza nguvu zote kuprove Kwa majiji ya 3 world kwamba wapo ju? Sasa utatakeje LDC country iwe na kila kitu bora kuliko nyinyi mnaojiita Developed Middle income country katika ukanda huu?
 
Wivu tu
 
Back
Top Bottom