Hakuna takwimu mpya kwanSasa kama Kenya hatuna lishe bora, chakula ya kutosha, matibabu bora sasa mbona life expectancy ya Kenya ipo juu kushinda ya Tanzania? By the way HDI inazingatia vigezo vitatu na moja yao ni life expectancy. Wakenya tunaishi muda mrefu kuwashinda. Nyinyi mnakufa mapema kama nzi. Nchi iliyoendelea watu wake wanaishi kwa muda mrefu
View attachment 2280805View attachment 2280806
Cc Nicxie
Cc tuusan
Kweli umejitetea vizuri.1.Mhh..how many megawatts does a full functional SGR consume..give or take 300MW to 500MW line nzima ikiwa operational..
2.Kigoma ,Katavi,Geita bado hazijawa connected to national grid..REA hizo zote lets say 100MW
3.:Eacop Project..
4.Sino Industrial Park over 2k industries to be built in pwani ..
5.We can sell to the EAC and SADC pool
Hizi ni takwimu za 2019. Hizi takwimu sio nzee.Hakuna takwimu mpya kwan
Yaani huyu jamaa humwelezi kitu kwa Magufuli, kama ni chuki alikwenda darasani akasomea, ana kinyongo kikubwa sana, hasamehi [emoji16][emoji16][emoji16]Hv magufuli alikufanya nn wew mbona kama mna ishu personal [emoji23]
Hapo kwa Sgr kutumia 500MW umezingua.1.Mhh..how many megawatts does a full functional SGR consume..give or take 300MW to 500MW line nzima ikiwa operational..
2.Kigoma ,Katavi,Geita bado hazijawa connected to national grid..REA hizo zote lets say 100MW
3.:Eacop Project..
4.Sino Industrial Park over 2k industries to be built in pwani ..
5.We can sell to the EAC and SADC pool
Maneno 100 chukua 1Kwamba professional Kunyans wanaenda USA na UK kwasababu kule kuna shortage ya experts, Wakunya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Quality is what matters. Hata huyo mchina wa Mwanza- Isaka inabidi asimamiwe vizuri sana ili kupata viwango tunavyotaka.Yapi Merkez watawachelewesha sana.
wachina ni kama wanakomoa yule wa Mbagala BRT sijui ana immunity gani? Aisee ananiudhi mpaka basi!Quality is what matters. Hata huyo mchina wa Mwanza- Isaka inabidi asimamiwe vizuri sana ili kupata viwango tunavyotaka.
Big economies always create demand for jobs as in the Uk and US so is Tanzania ndio maana remittances of Kenyans from Tanzania ziko juuUnadhani UK na US wakona economy ndogo kama bongo? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2280784
Wacha tujipe muda.Sidhani Kama M7 amekosea, ukitaka kujua kwamba yupo sahihi, chukia GDP figure za Uganda za 2021 kutoka WB, kisha gawanya kwa "population" ya Uganda.
Hata huku Tanzania, waziri wa fedha wa wakati huo, Philip Mpango, alisema kwamba Tanzania imeshaingia katika uchumi wa Kati mwaka mmoja nyuma kabla ya WB kutangaza, hata wakenya walipiga na kumshambulia Sana, Kama wanavyofanya kwa M7 hivi Sasa, wakenya hawapendi nchi zingine zikipiga hatua. Museven yupo sahihi katika hili, tusubiri kipindi cha mpito, lazima Uganda itatangazwa rasmi na WB.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kumbe, sasa hawa nao amekosana nao nini?[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu jamaa alikuaga rafiki yake kigogo wa kufa mtu mpaka akaweka dp yake [emoji28][emoji28][emoji28] akaja akawa pro Samia kichizi [emoji28][emoji28][emoji28] saivi hao wote ni maadui zake Wakuu kuliko hata Magufuli, ndio ujue hilo akili halina
Hata mimi nimesoma hivyo,lakini ngoja tusubiri kwa mtazamo kwa Joto la jiwe inaweza kutokea kama ilivyokuwa kwetu.WB wanasema UG per capita ni $850 far from $1045 which is recommended for lmic...Labda kama hujasoma andiko lao
Fanya utembelee kule ndio habari ya mjini kwa sasa.Aiseeh ni kuzuri. Nikipata leave nitatembea huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mlima tumerudisha ila jina bado wanacheza nalo [emoji16]
Ruto ataibeba sana hii katika kutaka kufungua mikataba ya sgr Kenya na pia kuhusu kufukuza wachinaHii issue inaenda kuwa campaign agenda huko Kunyaland!
We mpumbavu, Muhimbili ina children wing kubwa sawa na whole Whiteman's Nairobi HospitalDid you know Tanzania haina any public children's hospital? I thought you should know.