Nyerere alilinda mali zetu mabeberu wasijimilikishe hadi hapo tutakapokuwa na uwezo wa kuzisimamia vizuri unlike you guys ardhi inamilikiwa na mabeberu na matajiri.Typical Tanzanian reasoning.
Mashida yote ya Tanzania imeletwa na Wakenya na Wabeberu. It's never you.
Nyerere alifanya yepi, isipokuwa kuwacha Tanzania fukara. Nchi yenye maliasili yote ijulikanayo, lakini bado ni one of the poorest in the world.
Uzuri ya Kenya, results zinaonekana. Surgery mulifanya was not successful, Kenya did a successful surgery. Iko wapi hio cyberknife yenu ya Kenya tumeiona? Our SGR has been in operation since 2017, yenu ambayo ni long imebeba abiria wangapi na mizigo tonnes ngapi? Sasa kati yetu na nyinyi nani wako nyuma?Ni pale Mkunya anapofikiri ndo wa kwanza Africa na kujikuta watu wamekuwa na Cyberknife since 2016! Hii ni kama ile case ya kutenganisha mapacha Muhimbili imenza 1994 wakati Kunyaland imeanza 2016!
CC: Tony254
Nyie hushika mkia siku zoote! Hata SGR length tumeshawapiku! Na mtachukua miaka 100 kuwa na electrical SGR!
No serious international organization gives a shit about investing in CCM controlled DanganyikaVitu tumekuwa navyo tangu 2013, lazy laggads mlikuwa wapi?
Muhimbili’s promising future
Dar es Salaam. Tanzania may soon enjoy better medical services at Muhimbili Orthopedic Institute (MOI), when the new building under construction is completed.www.thecitizen.co.tz
Hizo mitungi za chang'aa sio SGR bibiUzuri ya Kenya, results zinaonekana. Surgery mulifanya was not successful, Kenya did a successful surgery. Iko wapi hio cyberknife yenu ya Kenya tumeiona? Our SGR has been in operation since 2017, yenu ambayo ni long imebeba abiria wangapi na mizigo tonnes ngapi? Sasa kati yetu na nyinyi nani wako nyuma?
Utajiri wa nchi unaonekana on ground na co kwenye makaratasi, unataka kuniambia Kenya ni tajiri zaidi ya Tz kwasababu ya makaratasi au sio? Kwamba unakataa maendeleo on ground unataka HDI ya kwenye makaratasi? Unakataa kwamba tunawazidi kwenye thamani ya miradi tunayofanya lkn unakubali HDI, hata hiyo HDI bado haina maana yoyote kwa Kenya cz bado mnasumbuliwa na vitu vidogo vidogo na vya aibu kama cholera, njaa, ukosefu wa lishe bora, poor health services etc haya nani zaidi hapo kama tutaingia ground?Kujenga barabara au reli haimanishi kwamba taifa ni tajiri, ama kwamba wananchi wake wanaishi maisha mazuri. Utajiri wa nchi kwa kiasi kikubwa huangaliwa na jinsi maishani wa wananchi ilivyo. Sio kwa ile HDI yenu na idadi ya watu who live in extreme poverty
Yapi Merkez watawachelewesha sana.Vipande vyote ni Yapi Merkez kasoro Mwanza Isaka
of course hizo takwimu ni za makaratasi coz they've played Kenya ahead of Tanzania. If it was the other way round, hazingekuwa na shida hata kidogo. Endelea kutoa povu bongolalaUtajiri wa nchi unaonekana on ground na co kwenye makaratasi, unataka kuniambia Kenya ni tajiri zaidi ya Tz kwasababu ya makaratasi au sio? Kwamba unakataa maendeleo on ground unataka HDI ya kwenye makaratasi? Unakataa kwamba tunawazidi kwenye thamani ya miradi tunayofanya lkn unakubali HDI, hata hiyo HDI bado haina maana yoyote kwa Kenya cz bado mnasumbuliwa na vitu vidogo vidogo na vya aibu kama cholera, njaa, ukosefu wa lishe bora, poor health services etc haya nani zaidi hapo kama tutaingia ground?
Unadhani UK na US wakona economy ndogo kama bongo? 🤣 🤣 🤣Kwamba professional Kunyans wanaenda USA na UK kwasababu kule kuna shortage ya experts, Wakunya hamna akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
It amazes me that a country ambayo watu wanashindia 1 meal a day and majority are starved haiko hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaumia ndani kwa ndani. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ndio maana hata comedians wenu wanapata shida sana kuwachekesha.
Makasiriko ndio zenu.
Tatizo ni kwamba hatujapata mkuu wa nchi wa kuliongelea hili suala wazi wazi, inakera sana ofcz ujenzi wa kiholela ni tatizo la Afrika nzima ila cc tutoke huko.coodip1 anaonekana kama mtaalamu kwny huu upande hivi ni kwanini bado wanawaacha watu wakijenga kiholela holela inakera sana hii ni kati ya sababu zilizonifanya nisiwe shabiki wa Mr Lukuvi kbs.
Ulirudi Dar ama bado unajivinjari huko Zanzibar?Utajiri wa nchi unaonekana on ground na co kwenye makaratasi, unataka kuniambia Kenya ni tajiri zaidi ya Tz kwasababu ya makaratasi au sio? Kwamba unakataa maendeleo on ground unataka HDI ya kwenye makaratasi? Unakataa kwamba tunawazidi kwenye thamani ya miradi tunayofanya lkn unakubali HDI, hata hiyo HDI bado haina maana yoyote kwa Kenya cz bado mnasumbuliwa na vitu vidogo vidogo na vya aibu kama cholera, njaa, ukosefu wa lishe bora, poor health services etc haya nani zaidi hapo kama tutaingia ground?
Tangu lini hapa jamii forums kukawa na nidhamu? usiniambie what to type. Simu na bundles ni zangu mdanganyika. Magu alikua na ûgûí kama wewe tu
So Tz ni the same as UK and US zote zina shortage ya experts au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unadhani UK na US wakona economy ndogo kama bongo? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2280784
Una picha nzuri brooUtasumbuka sana na bado. kijitonyama na posta yote ndani View attachment 2280696
Gepu kubwa sana hiyo kiuchumimpuuzi wewe [emoji1787][emoji1787] ilikua 1000ksh ni 23,000 tsh kwa sasa 1000ksh ni sawa na 19,000tsh
wewe ulisoma hesabu ya vijiti au??[emoji23]
Sema huyo makala usafi wa mji umemshinda akili zake zinatosha kuchafua vyoo tu ofisini ..kkoo na post kuna majengo machafu ajabu
Your economy is very informal while the UK and US their economy is formal. Nyinyi shortage yenu inasababishwa na ujinga while ya UK na US ni overflow of opportunities.So Tz ni the same as UK and US zote zina shortage ya experts au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo buildings in the background sio posta? TPA inapatikana Magomeni?Jua kutofautisha magomeni na posta kijana posta iko huko barabara inapoelekea sio huo upande mwingine.
Yani kwa Dar ni taabu kuweka mipango miji kwenye built up areas bila ya kuvunja majengo yaliyopo na ni gharama kubwa sana. Hii inaonesha at one time uwezo wa wananchi kujenga makazi ulikuwa mkubwa sana kuliko uwezo wa serikali kwenye mipango miji.coodip1 anaonekana kama mtaalamu kwny huu upande hivi ni kwanini bado wanawaacha watu wakijenga kiholela holela inakera sana hii ni kati ya sababu zilizonifanya nisiwe shabiki wa Mr Lukuvi kbs.