Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

7k kilometers Egypt wametumia $211 billion wakati 12k kilometers za kunyaland wametumia $ 10 million [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Gharama inategemea na ubora wa barabara walizojenga na ukubwa wa madaraja...izo hapo tu ni lanes ngap?wlafu ukute zinaenda km nyingi mbele
 
Kwanza wawajengee machinga maeneo ya biashara maana washawatimua barabarani,wakiweza hapo haya makubwa wataweza pia...tatizo letu sisi ubinafsi unatumaliza...alafu tulishaua private sector
 
Pesa ya Burundi inakuwaje juu ya TZS? Unajua hili dafu nalo wakati mwingine naliona ni li pesa la kipuuzi sn.
Thamani ya pesa sio kitu cha maana..inamanisha hela ya burundi ina nguvu kuliko south korea..it has nothing to do with GDP..cha muhimu ni stability ya hela over years ..esp to USD and other major currencies..

Hela ya Tz imekuwa stable sana toka uncle magu alivyoshika uskani..tumecheza 2200 to 2300 against USD..kitu amabacho kikwete alishindwa ..maana mkpa aliacha 1200 ..kama sikosei..yeye alipeleka hadi 2000..

I hope maza ataweza kuifanya stable pia
 
JPM alikamilisha 3500km za lami ndani ya kipindi chake...alifanya kazi kubwa sana
Si jana ulisema Miradi ni ya Watanzania wote baada ya kutoa evidence ya kwamba Kikwete ndiye alijenga Kigoma airport? Angalia unyoko wa Ki-Sukumagang wa chuki za kichawi dhidi ya mafanikio ya marais wengine! 👇🤷‍♂️😀

Miradi ni ya wananchi wa JMT achaga ufala na ushamba,alijenga nani ni kwa niaba ,hakuna mradi wa Nyerere, Mwinyi ama nani apa
 
7k kilometers Egypt wametumia $211 billion wakati 12k kilometers za kunyaland wametumia $ 10 million 😅😅😅😅

Mr. Einstein, can't you see those Egypt roads all look like superhighways?
Tanzania mmejenga km ngapi tangu independence?
 
Mji wa Kibaha tayari una master plan nzuri sana nadhani uki google hutazikosa maana mpaka barabara wamejenga kwenye new town centre na wameweka restrictions kwenye aina ya majengo yatakayojengwa.
Yah mm nagombana sn na jiji letu la Dar raia waliachwa wakajenga hovyo hovyo inakera sana, hatujachelewa mana Dar bado kuna eneo kubwa lipo wazi, rai yangu kwa serikali iwapimie watu viwanja na iwakataze raia kuendelea na ujenzi wa kiholela, pia waliojenga karibu na sehemu muhimu kama Airpot wapewe pesa wahame pale zijengwe hotel na Estate za maana. Karibu na Airpot hapapaswi kuwa na majengo ya kizamani yaliyojengwa hovyo hovyo japo naona ujenzi wa BRT phase 3 itaondoa uchafu pembezoni mwa Nyerere road.

Tusichoke kupiga kelele kuhusu ujenzi holela ni dhambi kubwa kwa nchi inayoendelea kwa kasi kama nchi yetu. Inakera sana kuona bado kuna ujenzi holela.
 
Ok sawa, umeelezea vizuri asante.
 
Si jana ulisema Miradi ni ya Watanzania wote baada ya kutoa evidence ya kwamba Kikwete ndiye alijenga Kigoma airport? Angalia unyoko wa Ki-Sukumagang wa chuki za kichawi dhidi ya mafanikio ya marais wengine! [emoji116][emoji2369]😀
Hayahusiani na mada, alafu wacha kua negative
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…