Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kweli kwenye hili la beggars ni aibu sana kwa nchi. Viongozi wetu wajitafakari sana.Dar waliondolewa wote, why Nai, ubalozi wetu huko haukujua hili jambo?
Hio documentary ya BBC ilinihuzunisha sana. Nilitokwa na machozi. Yaani mateso ambayo watoto hao walemavu wanapitia ni makubwa sana.
 
Hio documentary ya BBC ilinihuzunisha sana. Nilitokwa na machozi. Yaani mateso ambayo watoto hao walemavu wanapitia ni makubwa sana.
Acha tu ndg, kuna watu wamekalia viti vya kuzunguka ofisini, magari ya viyoyozi mwisho wa mwezi baridaa lakini kujua majukumu yao na wanaowafanya kuwepo hapo hawana habari kabisaa. Inasikitisha sana.
 
Wabongo wanaogopa Mercedes. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] The most reliable German car. Sidhani wanaogopa, shida ni majority hawafiki bei ya German cars. Nchi maskini hio.
Mbona zipo nyingi tu Bongo.
 
Back
Top Bottom