Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sad enough most of them wanatokea Mwanza na surrounding areas! This has to do with the mentality of the families that gave them away! Mbona wasitokee other places? GoT should wake up!
Social welfare department upande wa lake zone wana kazi kubwa ya kufanya.
 
nikiona wale ombaomba wa Nairobi nadhani mama inabidi azikomalie hizi halmashauri za hii mikoa ije na social programs za maana kwa ajili ya walemavu! Dr Gwajima aache kulala kazini!

FWfc6zxX0AARpxr
 
Dr Gwajima simwelewi maake yuko kimya tu
nikiona wale ombaomba wa Nairobi nadhani mama inabidi azikomalie hizi halmashauri za hii mikoa ije na social programs za maana kwa ajili ya walemavu! Dr Gwajima aache kulala kazini!
 
Social welfare department upande wa lake zone wana kazi kubwa ya kufanya.
Hili ni swala la mila potofu pia hukohuko ukatili na mauaji ya wajane, wabibi wazee, wenye vipara, albinos na sasa wenye ulemavu na mfumo dume! Kwani Tanzania nzima watu hawa wako huko tu?
 
hope hawa watu wamepata kuisoma vizuri..... eti "Traffic Cartels are of Tanzania nationals."!!

[emoji848][emoji848] tanzania kumbe kweli ni Least-Developed-Economy while kenya ni Emerging Market.... sasa nimeamini kabisa
Tanzania ni LDC by all measures. Nchi ambayo ina export beggars nI LDC
 
Back
Top Bottom