Sasa mbona wewe hujui kuuliza swali? Lugha gongana. Sawa wacha nitafute.Mm ndio nina mashaka na wewe kama kweli uliwahi kupanda ndege, hapo kwenye hiyo picha uliyoweka wanakaa abiria wa departure ambao tayari washakuwa checked in, sasa what I want ni sehemu gn wanakaa abiria ambao hawajakuwa checked in, yn nataka kuona abiria ambao hawaja chekiwa wanakaa wapi?
"Checked in" kwani wewe unadhani ni kiingereza kigumu sana?Kama kweli umewahi kupanda ndege lazima uwe umenielewa nikitumia misemo ya checked in passengers au reserved passengers.
Mr sensitive tumekugeuzia kibao!Au unauliza viti ambavyo vipo nje ya hii terminal ambapo watu wanakaa kabla ya kuingia ndani ya terminal? Nimekupata sasa. Viti hivyo vipo lakini sio vingi. Wewe ndio hujui kuuliza swali. Wacha nitafute nione kama nitapata.
Unitafutie sehemu wanayokaa reserved passengers na watu wanaosubiria arrival passengers mana hii picha imenistua sana.Sasa mbona wewe hujui kuuliza swali? Lugha gongana. Sawa wacha nitafute.
Wala co kingereza kigumu ila ni kigumu kwa ambao hawajawahi kupanda ndege kama wewe."Checked in" kwani wewe unadhani ni kiingereza kigumu sana?
Na nikama hujawaii fika JKIANow back to JKIA, the state of Departure lounge at JKIA
VS
Departure gate at Kilimanjaro international airport
Even the check inn lounge has seats
Usidhani utanitisha na mambo ya kupanda ndege mzee. Hio stage nilipita kitambo sana.Wala co kingereza kigumu ila ni kigumu kwa ambao hawajawahi kupanda ndege kama wewe.
Jamaa hajawaii kanyaga JKIA kumbe[emoji1787][emoji1787]Kwa akili yako unadhani JKIA inaweza kosa departure lounge??
Sasa kwnn unashindwa kuelewa misemo mepesi ya ki aviation rafiki yangu.Usidhani utanitisha na mambo ya kupanda ndege mzee. Hio stage nilipita kitambo sana.
Kwani Tony pekee kwa jamiiforums ndio husafiri[emoji1787][emoji1787] stop being petty and a fool
[emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]Sahizi jioni tunasema Weuli.
Huyo ajuza ashalewa ugoroKwani Tony pekee kwa jamiiforums ndio husafiri[emoji1787][emoji1787] stop being petty and a fool
Hii inafuta njaa kule Turkana!Kwani Tony pekee kwa jamiiforums ndio husafiri[emoji1787][emoji1787] stop being petty and a fool
mwambie Tony ajifunze lugha za ki aviation ananiaibisha.Kwani Tony pekee kwa jamiiforums ndio husafiri[emoji1787][emoji1787] stop being petty and a fool
Usiongee usichokijua ankoni hawa wachagga tu. otherwise nyinyi wengine wote ni ma lazy.! yani wasukuma, wanyamwezi, wahehe, wanyankore, sijui wanani tena...View attachment 2275493
Hapo wachagga tu wanalalamika cjui wakija wakinga watafanyaje[emoji38][emoji38][emoji3]Kuna sehemu wamejiandika kwamba wao ni wachagga?