Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,273
- 107,911
Watu wa mfumo dume unawangalia unawaacha maana hajui women vote iko vp Tanzania! Na mama anacheza na wanawake kiustadi sana!Huo mfano wa jobo ni mdogo,ungemwambia inakuaje ceremonial leader aamuru kuhamishwa Masai,si walikuwepo miungu watu mbona walishundwa?
Sio tuu atashinda bali atashinda kwa kishindo saa 3 asubuhi.
Living in denial as alwaysHuku kunakaa ni kama apocalypse. Yaani mwisho wa dunia. Utadhani eneo limepigwa nuclear bomb. Halafu Ng'amia za South huwa zinasema hakuna slums Dar.
View attachment 2274777View attachment 2274778View attachment 2274779
Iliitwa hivyo ili ku justify upigaji wa fedha za serikali. Wakunya ukitaka kuwalia hela zao wewe tumia maneno pendwa tuu utakula hela zao kiulaini sana.And someone (even their President) dares to call their bus terminal in Nairobi
"utra modern green park bus terminal" [emoji28]
Hawa jamaa wote akili hawana
View attachment 2275047
Hiyo si chini ya USD 2 millionHii Property Msasani Road ( Oyster bay) inaweza kuwa bei gani [emoji1787]
View attachment 2275117
View attachment 2275118
View attachment 2275119
View attachment 2275120
View attachment 2275121
On post match penalties? 🤔 🤔 🤔Kwanini hamkufuzu mashindano makubwa ya CHAN Africa 2020? View attachment 2274825
I am not disputing what you are saying kijana. Hizo Kwibuka titles ndio sijawahisikia. Sijui ni zile za mitaani Ama!Ukweli huwa unakuumiza sana [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2274938
Mechi za kimataifa huwa huzisikii ila unasikia mechi za mchangani za cecafa au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I am not disputing what you are saying kijana. Hizo Kwibuka titles ndio sijawahisikia. Sijui ni zile za mitaani Ama!
Mlifungwa au hamkufungwa? Btw sina muda mchafu wa ku debate kuhusu soka baina ya Tz na Kenya kwa sasa, it's totally jocking.On post match penalties? [emoji848] [emoji848] [emoji848]
$20mil angalau kdg italeta maana cz land hapo ni gharama sana.Hii Property Msasani Road ( Oyster bay) inaweza kuwa bei gani [emoji1787]
View attachment 2275117
View attachment 2275118
View attachment 2275119
View attachment 2275120
View attachment 2275121
Wanawake wengi hawamkubali mama, kushinda atashinda kama atapitishwa na CCM cz CCM hata waweke jiwe litashinda.Watu wa mfumo dume unawangalia unawaacha maana hajui women vote iko vp Tanzania! Na mama anacheza na wanawake kiustadi sana!
cc Tony254[emoji51][emoji51][emoji51] Watu wa GDP kubwa njooni huku [emoji116]
Hio ni Milimani estate Kisumu sio Kisumu mzima. Unathani Kisumu Unaweza ichukua yote kama Ile Mwanza yenu haina Suburbs. Jiji za TZ hazina suburbs. Outside CBD ni vituko tupu.Hii picha inaonesha namna Kisumu ndogo, ona miisho yake ilivyo karibu paleee kwenye maslums [emoji28][emoji28][emoji28]