Of course haiweziniuma. Mbona iniume when such a reasoning comes from a person who believes that a population density of a million people per square kilometer is actually possible under the sun? They say that to please a fool is to say yesHata kama ina 2kmΒ² ila ukweli ni kwamba ina accomodate 2.5 millions of slum dwellers, japo inauma ila huo ndio ukweli na upo published [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwasasa watakuwa wanajichoresha tu cz Tz ni famous kuliko Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama kawaida yao wakunya
πππππMacho huna au? Mzee wa kuumizwa na ma slums ya Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa kweli, yn wana entertain vijana wengi waingie kwenye kamari c ndio?Hii haiko sawa
Rais na huyu waziri..wote mamburura tu
Hapa sijui kama kuna ukweli
View attachment 2274693
Nilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!Hii haiko sawa
Rais na huyu waziri..wote mamburura tu
Hapa sijui kama kuna ukweli
View attachment 2274693
Huyu mwigulu akiachwa aendelee kubaki serikalini atatuumiza sn mana yeye technique zake zipo kwenye urais, sasa anatafuta pesa kivyovyote vile.Hii haiko sawa
Rais na huyu waziri..wote mamburura tu
Hapa sijui kama kuna ukweli
View attachment 2274693
Dar middle-class areas ππππHii Kenya kila siku yanagundulika ma slums mapya, haya hapa ni mapya kabisa hayajawahi kuwekwa humu.View attachment 2267121View attachment 2267123View attachment 2267124View attachment 2267125View attachment 2267126View attachment 2267127
Tatizo linakuja boss wake ni ceremonial leader πHuyu mwigulu akiachwa aendelee kubaki serikalini atatuumiza sn mana yeye technique zake zipo kwenye urais, sasa anatafuta pesa kivyovyote vile.
She a ceremonial leader.. yeye hana cha kuamua..elewa hilo..tatizo hutaki kukubali hilo.. she is just a CEREMONIAL LEADER πNilishasema huyu jamaa ni zero! Wizara ya Fedha haitaki pata potea! Baada ya kuhimiza serikali kukopa ku-finance budget, sasa unahimiza bahati nasibu na tunajua jinsi inavyoathiri jamii na kupunguza ufanyaji kazi! Watu wanashinda kwenye lottery booths!
Naskia toll gates zinaenda kuwekwa Tanzanite bridge na Kibaha. Hivi kwann mama asijaribu mtu kama Kimei aliyeitoa CRDB Bank mbali na kuiacha katika hali nzuri? Hata michango yake imejaa ufahamu wa jinsi ya ku-boost economy with minimum risks. Hili ni zao la PhD za mchongo akiwa waziri na Mbunge.
Niambie ni lini national team yenu iliwahishinda Kenya in a competitive game. Kwenye mambo na michezo nyinyi ni hovyo sana. We are the region's sporting powerhouseKwa sasa timu za Tz huwezi kulinganisha na timu za Kenya, tofauti inaanzia kwenye pesa wanazopata timu za Tz, ni kama mbingu na ardhi. Bingwa wa Tanzania anapata milioni 600tzs wakati bingwa wa Kenya anapata milioni 40tzs [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
In Kenya, Estate Za Kifahari zimepakana all the way from Garden Estate to Karen na zote zimeishinda hiyo Oyster Bay. Hiyo ni distance ya 24km.Masaki na osterbey zikiwa ni eneo moja lilipakana, hapo kenya kuna kimtaa chochote kitatia pua kweli.? πππ
Kwibuka titles ndio gani tena hizo? ππππKwa sasa malengo ya timu za Tz sio kucheza na timu za mchangani, malengo yetu ni kupambana na timu za Kusini mwa Africa, Congo au timu za kaskazini huko sio Kenya tafadhali, huko Kenya kwa sasa hata cricket hamtuwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2274286
That film was good marketing, nimshenzi tu ataibezaWale waliokuwa wakibeza filamu ya Hangaya wako wapi leo?
Maumivu ya medieval rail peleka kibera.Unaongea ujinga na nyie mumeshindwa kumaliza kapiece ka 200 km miaka mitatu baada ya deadline ya November 2019?
Huku kunakaa ni kama apocalypse. Yaani mwisho wa dunia. Utadhani eneo limepigwa nuclear bomb. Halafu Ng'amia za South huwa zinasema hakuna slums Dar.Sasa si unaona ni hasira zilikutuma huku? πππ
Dar middle-class View attachment 2274751
Githurai "slum"ππππView attachment 2274752