Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

alete basi tumalize...collo prove them wrong..
hana uwezo huo...labda tumpe one hour, aende akaazime kwa rafiki yake ndio arudi kutuonyesha....

.....unadhani kumiliki iphone7 ni sawa na kumiliki tecno phone.
 
970990cd0025838a1a5240a96336c336.jpg
 
Vichaka tu Nairobi yani...nyumba zinagap na iyo ndio commercial zone

Sent using Jamii Forums mobile app
that is a commercial zone in development...wacha ushamba....ile CBD ya zamani imejaa mijengo kote sasa hii ni sehemu mpya imeanza kujengwa miaka kadhaa iliyopita..haina hata miaka kumi....kisha hapo kuna uhuru park..a green zone....serikali haikubali jengo lolote pale makusudi...

mfano Montave inajengwa karibu na pale...tayari wameshakata miti mpaka watu wameanza kulalamika...so it is in development..
 
that is a commercial zone in development...wacha ushamba....ile CBD ya zamani imejaa mijengo kote sasa hii ni sehemu mpya imeanza kujengwa miaka kadhaa iliyopita..haina hata miaka kumi....kisha hapo kuna uhuru park..a green zone....serikali haikubali jengo lolote pale...

mfano Montave inajengwa karibu na pale...tayari wameshakata miti mpaka watu wameanza kulalamika...so it is in development..
Don't cry braza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom