ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kwasababu hawana barabara nyingi kama za dar😀😀😀😀😀mbona za nairobi ni pana lakini jam ni kubwa kushinda dar?
kwasababu hawana barabara nyingi kama za dar😀😀😀😀😀mbona za nairobi ni pana lakini jam ni kubwa kushinda dar?
la hasha...ni sababu Nairobi magari mengi haswa matatu...si uliniaambia niikuletee barabara moja tu toka Nai na urefu wake... nikakuangushia Thika superhighway=50Km ukapotea...kwasababu hawana barabara nyingi kama za dar😀😀😀😀😀
kuna barabara iliyo na upana wa Thika road ndani ya Dar kweli?
we unafikiri tuna magari za kuhesabu kama nyie hapo?mbona za nairobi ni pana lakini jam ni kubwa kushinda dar?
pale kuna Miami, Cairo Pretoria etc...traffic, in a 'weird way' shows development
kwa hiyo Nairobi na Miami ni sawa?pale kuna Miami, Cairo Pretoria etc...traffic, in a 'weird way' shows development
Hapana,nadhani kwa sasa barabara pana ni morogoro road iko na lane 6 na service road 2 ...kuna barabara iliyo na upana wa Thika road ndani ya Dar kweli?
kwa hiyo ukubwa wa foleni hapo nairobi,ni ishara ya maendeleo?.we unafikiri tuna magari za kuhesabu kama nyie hapo?
hiyo ndio sababu.kwasababu hawana barabara nyingi kama za dar😀😀😀😀😀
yap...jiulize mbona barabara ni pana ila bado traffic jam zipo...si eti barabara hazipo...magari ndizo zimejaa sana...mtu anataka aende kununua mkate na Prado...mwingine mwanabishara ana matatu 20 barabarani zimletee hela...kwa hiyo ukubwa wa foleni hapo nairobi,ni ishara ya maendeleo?.
Nina mashaka na elimu ya wakenya.yap...jiulize mbona barabara ni pana ila bado traffic jam zipo...si eti barabara hazipo...magari ndizo zimejaa sana...mtu anataka aende kununua mkate na Prado...mwingine mwanabishara ana matatu 20 barabarani zimletee hela...
elimu ina uhusiano upi na foleni?Nina mashaka na elimu ya wakenya.
the way unavyohusisha issue ya jam na maendeleo...hai make sense...poor reasoning.elimu ina uhusiano upi na foleni?
elimu ya wakenya inaongoza afrika mashariki...huyo mwenzako ana mapungufu ya kiakili nadhani...leo amenyoroshwa viboko na wakenya akaanza mambo ya povu sijui hasira sijui renders...
Inabidi ufanye utafiti wa kutosha, asiwe mkenya au mtanzania. Mtafiti akae Nairobi kwa mda wa kutosha na Dar kwa mda wa kutosha kisha alinganishe. Mimi ni mtanzania lakini Nairobi ipo juu ni vichache vya kulinganisha
Sent using Jamii Forums mobile app
watu kununua magari mengi haswa Afrika sio maendeleo?? kumbuka hili ni bara linaloonekana na wengi kuwa na umaskini, magonjwa na wanyama pori tu...the way unavyohusisha issue ya jam na maendeleo...hai make sense...poor reasoning.
unaweza ukawa umesoma sana,lakini ujinga ukawa haujakutoka kichwani.zingatia hilo.elimu ya wakenya inaongoza afrika mashariki...huyo mwenzako ana mapungufu ya kiakili nadhani...leo amenyoroshwa viboko na wakenya akaanza mambo ya povu sijui hasira sijui renders...
unaweza ukawa umesoma sana,lakini ujinga ukawa haujakutoka kichwani.zingatia hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mhhh bro hebu sometimes try to be serious😀😀😀😀😀pale kuna Miami, Cairo Pretoria etc...traffic, in a 'weird way' shows development