Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Elevated roads are so many in Nairobi. Tulianza kuziona wakati bado zilikuwa ndoto huko kwenu. Umewahi sikia hata moja imeanguka? Mnawashwa sana vilaza [emoji23] [emoji23]
Mna maneno mengi ya misamiati ya kiingereza mkidhani kwamba ndio utaalamu kumbe mnafuga upumbavu, hayo majengo yenu ambayo yemekuwa yakiporomoka unayazungumziaje? Hata kama ni battle kubali kushauriwa, nchi yenu iko hovyo sana kwenye usimamizi wa miradi, mnafanya below standard na kuhatarisha maisha ya watu halafu mnakuja hapa kutuletea ngonjera.
 
Shauri yenu, your Swahili is not recognized. That's why Kenyan Swahili is used all over, just like hakuna matata.
Tarehe 7 ya kila mwaka ni siku ya kuadhimisha Lugha ya Kiswahili duniani, nani aliyekipigania,kukikuza mpaka kujulikana na kupewa hadhi ya Kimataifa kama siyo Tanzania?
 
Elevated roads are so many in Nairobi. Tulianza kuziona wakati bado zilikuwa ndoto huko kwenu. Umewahi sikia hata moja imeanguka? Mnawashwa sana vilaza [emoji23] [emoji23]
Halafu ujanja siyo kuwahi bali Kupata. Umenielewa dogo namaanisha nini hapa.[emoji41][emoji41]
 
Keshasema ni expansion joint, kwahiyo siyo shida hata kidogo maisha yaendelee watu waendelee kupita tu haitaleta madhara [emoji848][emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
unajua hapo ni wapi kweli?. afadhali hayo majengo ya residential mitaani sio huu upuzi ambao umetapakaa na kuzunguka jiji lote in 2022[emoji116] [emoji116] [emoji116] .,
View attachment 2271422
View attachment 2271426
View attachment 2271428
Mbona sisi tunapost picha za maeneo mbalimbali Kenya maeneo kibao yako hovyo na slumish area zipo za kutosha, sasa nyie picha mnazopost za Tz ni hii hii moja wewe na mwenzako mkalee Nicxie wekeni picha za karibu kitu kionekane kama cc tunavyofanya kwa ma slums yenu, pia weka picha tofauti tofauti kama cc tunavyofanya.
 
Home sweet home.. jua kali kinoma
IMG_20220625_135329_791.jpg
IMG_20220625_135305_323.jpg
IMG_20220625_134804_328.jpg
 
Bado unaweka picha za uzinduzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I asked you to prove your claims ukashindwa. Utalia hadi machozi ya damu bongolala
 
Back
Top Bottom