Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile nguruwe yenye huwa inasema Kenya haina 3 level interchange imejificha wapi?
View attachment 2269523
Aje ajionee a proper 3 level Pangani interchange. Sio bichi-kidimbwi a.k.a vilima vya Baba Levo.
images-31.jpg
 
MT = motor Tanker ni meli ya mafuta au vimininika
MV = motor vessel inaweza kuwa ya mizigo au abiria!
Darasa murua kabisa hili kwangu na kwa faida ya wengine ambao walikuwa hawajui. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
I knew that is what he was trying to say ila kaumbika vinoma! How can you not know the name of the hotel you are staying in?
Kwani mimi nimetaja jina gani nililokosea ama english ndio inawapiga chenga?
 
Nyeri kijiji gani hicho watu wanalala kwa silos? Najua nyeri like the back of my hand. Leta jina la kijiji.
Wewe unakaririwa hadithi za Nairobi na masharobaro unaleta hapa?
Ngoja nikuelekeze hizo silos ziko hapo mjini can be seen from the main road. As you leave Nyeri town heading to Meru just after the petrol stations look on your left utakuta silos zilizoungana hapo madirisha madogo kama matundu ya ndege. Now do your research nimeshakupa hint tayari.
 
The Bomas [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] nionyeshe hoteli kama hio Nairobi nifunge account.
Hiyo s hapo mwisho nadhani ndio inayowazingua as a manner of speaking any name can be added with s at the end depends on the user choice and what s/he wants to convey. English Kenya tabu narudia tena english ni shida Kenya.
 
Ngoja nikuelekeze hizo silos ziko hapo mjini can be seen from the main road. As you leave Nyeri town heading to Meru just after the petrol stations look on your left utakuta silos zilizoungana hapo madirisha madogo kama matundu ya ndege. Now do your research nimeshakupa hint tayari.
Wewe acha kuvuta bangi kijana. Hujui kitu ambacho unaongea. You sound stupid.
 
Back
Top Bottom