Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mm nimezoom sehemu wanaita slum niakakuta huu ushuzi sasa 🤣🤣👇👇 unaeza jionea tofaut kwann mzungu awe na akili kuliko wewe
View attachment 2268728
Si mnasemanga Nairobi yote ni slum? 😂 Kumbe kuna sehemu zingine ambazo sio slum? I had no idea.

At least leo umejua hata nyingi za sehemu unaziita slum zinazidi hizo uswazi zenu by far; in planning and everything there's to mention. So far tushakuonyesha Uthiru, Ruai na leo Githurai.
 
Nani alikuambia hatujui dar?
 
Sioni simulator hapo mm au hilo dude la nyuma ndiyo flight simulator? Btw now umekubali kwamba Tz tunayo na inakuja flight simulator b737?
Wewe jamaa The best 007 huwa unasema kwamba unafanya kazi JNIA airport lakini hujui simulator ni nini? Mpaka unakataa kwamba hili dude sio simulator? Kwa hivyo hujui simulator inakaa vipi? Mzee kwani unafanya kazi ya aina gani hapo airport?
 
R these the hospitals fools were making noises about? 16 beds hospitals?
Hizi ni hospitali ndogo na kubwa zimejengwa in informal settlements na county ya Nairobi under nms kupunguza msongamano kwenye hospitali kubwa za nairobi. In total ni hospitali 28 mpya na 4 refurbished. Zinarange from level 2 hadi level 5 kama hii Margaret Kenyatta hospital yenye vitanda 350
 
Hawa sio watu nahisi wana uelewa mdogo sana uwa wamekalili mambo ya kizamani bila kujua kuwa Tanzania inabadilika sana tena sana
Sasa umeskia kenya iko stagnant ama? Wewe muongi ndio una uelewa mdogo wacha kulaumu watu[emoji1787]
 
Miundombinu hasa malazi ni muhimu sana kuongezwa maana zilizopo zitajaa sana na kushindwa ku-accommodate.
Ulaya kipindi cha baridi ndio uwa wanatoka nje ya europe,hasa waskandanavia uwa ndio kipindi cha likizo kabisa,so tutegee kuanzia des hapo kuongezeka kwa watalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…