Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha hasira, nimeuliza kama hii mpya unaijua? 🤣 🤣 🤣
Nashindwa kukuelewa ni kitu Gani unajisifia nacho au una feel proud of😂😂 Mwanza for instance kuna vivuko mixer meli kibao yani kwakifupi sehemu iliyolala kwa miji mitatu (Mwanza, Kampala na Kisumu) iliyopo kando ya lake Victoria ni Kisumu pekee, Kisumu ndio inashika mkia ..
 
Airport, shipyard, real estate,railway, sea port etc kisumu iko juu.
ARUSHA hakuna maji (ziwa) mzee wangu, Ila swala la real estate Kisumu is a joke mbele za ARUSHA, railway.? 😂😂.. airport zote zote kati ya Kisumu airport na Arusha ar under one category, which is airstrip
 
Nyinyi mnajenga leo sisi tunayo miaka mingi iliyopita.
 
Wacha kupotosha umma. Hiyo unayokataa ndio ya Dar and here is the proof
View attachment 2261915
Ya Zanzibar inafanana hivi ila zote Misikiti tu View attachment 2261912
Kumbe unapenda ushindani tu hiyo ya juu na ya chini ina tofauti gani. Tizama garden na hizo arch za milango na madirisha utaoa kuwa ni nyumba hiyo hiyo. Ikulu Zanzibar ilifanyiwa matengenezo na kubadilishwa hayo madirisha na kuyaweka ya mbao bila ya rangi. Hizi Ikulu za Dar na Zanzibar zinafanana kwa siyejuwa lakini ni tofauti

Hii ndio Ikulu ya Dar linganisha milango na Madirisha, ukubwa pamoja na Garden yake
 
boda unaendelea kusoma kwa matako sio?
Bado unaumwa, usijali utapoa tu. 🤣 🤣 🤣 🤣 Me sikukuambia ukuje kwa vita ya bunduki na kisu. MV Captain David Chuma mpya. Enda ulilie kwa choo we mzee.🤣🤣🤣 Hasira pelekea bibi yako nyumbani.




 
Yapanue vizuri labda utaoiona! 👇
 
Hongera sana kaka.Juzi nimepita baadhi ya hizi barabara ulizozitaja sijakutana na vumbi hata mita 10 labda ambazo ziko kwenye matengenezo kasindaga, napo ni sehemu ndogo sana.Kweli hali ya hewa ni nzuri sana hii mikoa, kijani kibichi na mvua za kutosha.
 
Hivyo vituo sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnapenda mambo mazuri lkn kutoa pesa hamtaki, toeni pesa wekeni mazingira mazuri kama sisi, starehe gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…