Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesoma ile article? Kwa hiyo hao watu watafanya Kazi kiwandani bila kuwa na ujuzi?

Maeneo ya kuwapeleka yako mengi Sana tena decent na watawekewa mazingira ya fursa za biashara na ujuzi.
 
Nimeona jamaa "anaendesha" ngamia mtaani! IRMAO ngamia anaishi kwa plot...!! [emoji2369] [emoji1787][emoji1787]😀😀😀😀
Wanabeba watoto around estates, very lucrative business. Nairobi is rich in its unique authentic culture. Imagine maasai na ngombe wake plus msomali na ngamia in Nairobi CBD existing in a mdoren complex city without clashes. Its beautiful.
 
Kwani hao middle income hawaongezeki kila siku? Kwani Ili uwe na middle income people lazima watoke kwenye viwanda pekee?
 
Kenyans to demonstrate in front of Tanzania embassy Nairobi over Ngorongoro evictions
 
Tulidanganywa na JPM hivihivi wakati Chato Real Estate ikisukumiziwa miradi ya kulazimisha kila kitu kilisimama kwenye sector ya Real Estate pengine nchini!

Sasa hivi watalii hawana pa kulala Arusha wakati AICC ilikuwa na mradi wa MKICC uliokuwa na provison ya 2 hotels ukiacha modern bigger conference center!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…