chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,083
Ilipigwa na Kilimanjaro ikatiiLeo nimeshangaa vile watanzania huiogopa Kisumu 😂 😂 View attachment 2260715View attachment 2260716View attachment 2260717View attachment 2260718View attachment 2260719View attachment 2260720View attachment 2260721View attachment 2260722View attachment 2260723View attachment 2260724View attachment 2260725View attachment 2260726
Hivi ni kwanini mombasa port ina handle more tonnes than dar port ambayo inatumia na nchi 8 kama coodip alivyosema.?? Nijibu kitaalam.Mm kila siku humu huwa nasema kwamba value of Tanzanian projects equals to values of all projects in Kenya Uganda Rwanda Burundi DRC and Sudan combined but naonekana muongo ninaependa kuongeza chumvi. Na sasa bado nawaambia Wakunya kwamba GDP ya kwa ss ni $150bn itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200bn baada ya miradi ya kimkakati kuanza kufanya kazi.
Haka ka watchman cku hz kameanza tena mdomo.Hako kajuaji kapumbav.
View attachment 2260741
Is there any heavy traffic on that area? Tz builds infrastructure according to our needs we dont put fancy infrastructure porini eti because our leader or the man at the helms comes from this area.An interchange in Eldoret still under construction, can Tanzania have anything like this outside Dar?
View attachment 2260589
Huwa siamini sana kwenye mambo ya GDP maana siku zote GDP haisadifu yaliyomo.Mm kila siku humu huwa nasema kwamba value of Tanzanian projects equals to values of all projects in Kenya Uganda Rwanda Burundi DRC and Sudan combined but naonekana muongo ninaependa kuongeza chumvi. Na sasa bado nawaambia Wakunya kwamba GDP ya kwa ss ni $150bn itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200bn baada ya miradi ya kimkakati kuanza kufanya kazi.
Mm kila siku humu huwa nasema kwamba value of Tanzanian projects equals to values of all projects in Kenya Uganda Rwanda Burundi DRC and Sudan combined but naonekana muongo ninaependa kuongeza chumvi. Na sasa bado nawaambia Wakunya kwamba GDP ya kwa ss ni $150bn itakapofika 2025 tutakuwa tushagonga $200bn baada ya miradi ya kimkakati kuanza kufanya kazi.
Rouble hiyo iko hivyo kwasababu ya slump in production activities across Russia the need for importation ya industrial raw materials haipo tena and at the moment they are using their foreign reserves which are in Russia to keep the rouble floating handsomely but once the reserves finish rouble will plummet to historical lows since the break of USSR.
Last three weeks nilipiga hii picha nikiwa zangu Mwanza kwenye moja Kati ya mitaa ya biashara za pesa mingi Rwagasore street 👇Kiboko ya mtanzania ni World bank, IMF< CAG, TANROADS, na Google earth😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2260636
Umeona mkuu, hapo ukichukua ya Kenya na Uganda ukajumlisha bado haifikii ya Tz.
Wacha kuwa mpumbavu wew tahira, Kisumu haiwezani hata na ARUSHA, Mwanza ni issue ingine kabisaaaUjinga ni kutumia size of a place to measure development. Mwanza is just land with nothing substantial. Kisumu is beautiful, clean and organized. Mwanza is ugly, dirty and disorganized.
Ng'ombe zinaingia mjini kufata ng'ombe wenzake..Sasa kama metropolis pana hali hii, countryside panafafanaje wazee wa fuso fabrication economy? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee wakikuita mkenya pigana
View attachment 2260687View attachment 2260688
Wacha kuchanganyikiwa wewe mwehuMombasa vs mwanza ni non starter, siwezi participate. Mombasa vs Dar maybe.
You people are always looking for excuses to cover up for your underdevelopment. Mwanza is your second biggest city na kila siku hapa mnailinganisha na Mombasa. Does it mean that Tanzania's second city haijakuwa na need ya kujenga barabara Kama hiyo ya Eldoret?Is there any heavy traffic on that area? Tz builds infrastructure according to our needs we dont put fancy infrastructure porini eti because our leader or the man at the helms comes from this area.
World Bank - Dar real estate bigger than Nairobi, Kenya worse than Zimbabwe in poverty, kenya shiling is not free floating but managed. Au kuna world bank nyingine tena?Kiboko ya mtanzania ni World bank, IMF< CAG, TANROADS, na Google earth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2260636
Kila nchi hata zile masikini zina real estate sector. Hata Somalia na Burundi zina real estate sector. Binadamu lazima aishi ndani ya nyumba. Nyumba ni part of uchumi. Whether ni residential au office block, hio yote ni part of uchumi. Wacha ushamba. Hapo ulipo unaishi ndani ya nyumba au ndani ya msitu? Utasemaje kwamba kujenga office blocks au residential estates sio muhimu kwa uchumi? Unataka watu waishi kwa misitu?Real estate huja baada ya kuwa nchi imeshajenga middle class ya kuweza kulipia hizo real estate, sasa nchi haina middle class ya kutosha real estate ita survive vipi?
View attachment 2260727
Ahsante mkuu.Kabla ya kuitwa game reserve baada ya kuundwa Burigi hapo mwanzo haya mapori yalikuwa yanaitwa forest reserve
Kila nchi hata zile masikini zina real estate sector. Hata Somalia na Burundi zina real estate sector. Binadamu lazima aishi ndani ya nyumba. Nyumba ni part of uchumi. Whether ni residential au office block, hio yote ni part of uchumi. Wacha ushamba. Hapo ulipo unaishi ndani ya nyumba au ndani ya msitu? Utasemaje kwamba kujenga office blocks au residential estates sio muhimu kwa uchumi? Unataka watu waishi kwa misitu?
Uchumi haujengwi kwa kudharau na kutenga sector fulani. Huwezi kusema kwamba unafocus na viwanda pekee halafu ukadharau real estate sector. Kwani hao wafanyikazi wanaofanya kazi viwandani wataishi wapi ikiwa umekataa kujenga residential buidlings? Wataishi misituni? Kila sector ina umuhimu wake.Sawa!
Alisomba wangapi,? Kwahiyo Ibanda na Rumanyika kote huko alisomba akapeleka wanyama. Je yalivyokuwa mapori tengefu wawindaji walikuwa wanawinda nini huko porini?Hujajibu swali kama wanyama walikuwapo kwanini mwendazake alisomba wa Serengeti kupeleka Bugiri-Chato NP? Naomba ujibu bila siasa na histotia nyingi!
Uko sahihi. Pamoja na ukulima wangu lakini ni mdau wa hii sector, naishi kwa kodi za nyumba.Uchumi haujengwi kwa kudharau na kutenga sector fulani. Huwezi kusema kwamba unafocus na viwanda pekee halafu ukadharau real estate sector. Kwani hao wafanyikazi wanaofanya kazi viwandani wataishi wapi ikiwa umekataa kujenga residential buidlings? Wataishi misituni? Kila sector ina umuhimu wake.