Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upuuzi tu, mumeguswa kipele munaanza kulia na hili jambo nilijua tu munahusika nyinyi sio bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni kwa kutoneshwa kipele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa anajiona mwarabu sana. Tatizo ngozi lake bado ni nyeusi. Ana mitindo ya kiarabu kiarabu. Hata kuzungumza kwake kuna uarabu mwingi.
Siyo kujiona muarabu,malezi yake hasa dini ya kiislam inawataka watoto wote wa kike kujisitiri maungo yao.Lakini pia amependeza mama zetu wa Kiafrika hujistiri namna hii.

Kwa utamaduni wa Pwani ni kawaida sana, hajakosea ndivyo alivyofunzwa na dini na wazazi na jamii yake yote.
 
Mama ndio kaanza ukatili. Sisi hatukuwa na tatizo na yeye hapo awali.
Mtu yeyote au nchi yoyote inayodhani inaweza kuishi na Kenya kwa amani na maelewano bila kutumia "Confrontation type of relationship" anajidanganya.

Kitendo cha Samia kujipendekeza kwa wakenya kwa kumsema Magufuli kwamba hakufanya vizuri kwa kuchoma vifaranga huku alijua kwamba lililofanyika lilifanyika kwa kufuata Sheria na taratibu zote za Tanzania, akidhani kwamba wakenya wangempenda, nadhani Kama uwezo wake wa kufikiria ni mzuri, ataanza kujifunza kutokana na hili, wakenya sio wa kuwaendekeza, hawa watu ni shida

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hizo interchange 5 underway zote zinazinduliwa mwaka huu.. ndio mtajua hamjui, BRT system tunayo tena 3 phases while uko kwenu 0, mkija huku kwenye interchange (uwanja wenu wa kujidai) tunapindua meza soon .. 5 years 9 interchange [emoji23][emoji23][emoji23] sujui mtajivunia nini nyie jamaa, jiandaeni kisaikolojia..
Dar jiji kubwa
 
Mkunya na uchafu!



Hapa Chini hata Mkokoteni hupiti Duh.
IMG_7973.jpg
 
Maasai wa ngorongoro wamejengewa nyumba nzuri sana Tanga shule na vituo vya afya kupitia uongozi wao walikubaliana kuhama ndio maana serikali ikawekeza hela kwenye makazi yao mapya wamepewa pamoja na mapori huko Tanga ya kulisha mifugo yao sasa leo wanakataa kuhama inaelekea kuna kamchezo kinaendelea na it seems kuna ambao hawakuwepo mwanzoni ila sasa wameona watu wamepewa nyumba na maeneo bure na wao wakaja kuhamia hapo ngorongoro ili na wao wajumuishwe kwenye mpango wa kupata nyumba bure. Most likely they are from Kenya. Though I do not condone the use of force or any measures that hurt people.
Kuna umuhimu mkubwa wa kupiga senyenge na kuweka ulinzi mkali wa askari na mbwa waliotrain vizuri kwenye border zote tulizopakana na kunyaland
 
Tulisema ile ilikuwa picha ya uzinduzi, watu wakapita bure, sasa hii ndiyo picha kamili sasa, watu wameanza kulipishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa hapo ni maana ya barabara....

Watu hata hawaitumii inakuwa kama mapambo...

Naona bonge la gap kati ya maskin na tajiri
 
Alafu angalia public buses za Kenya aisee, yn ndiyo ziko hvyo hvyo zootee, jamaa ni mafukara mno mm nawaambia ndugu zangu, Wakenya ni mafukara zaidi ya unavyoweza ku imagine.
Mbona wana GDP kubwa..si wabadilishe usafiri...watafute hata mabasi ya kama ya mwendokasi..

Mji wao una maghorofa marefu lakin kwa ground ni kuchafu kila mahala..

Sehemu kama downtown Nairobi ni majango
 
Back
Top Bottom