Hata mhogo ukidondoka hapo naweza kuokota nikaula.
Hata mhogo ukidondoka hapo naweza kuokota nikaula.
Mbona inakaa ofisi piga picha full na kwa nje tuone! Si unatuletea picha za lindo ulipopangwa leo!Pardon the camera, (my main obstacle) napigwa na AC nikimsoma The best 007 View attachment 2258809View attachment 2258810
Wakenya hujituma thats the differenceSo what is the difference ?
Control and signalling ni vitu muhimu sana kwa usalama wa passengers sasa windows 7 inaweza ikahatarisha usalama wa abiria. Microsoft ameshaacha kutoa security updates and may be prone to hackers and viruses. Slight computer glitch may render the whole system inoperable.Will that stop the computers from operating?
Follow the money idiotTanzania wins more sababu hakuna cha maana mnachotuuzia


Hata uki gida pombe huku beer bei rahisi tunafikiria kuweka kwenye vending machines now au tuwe na automated bars kama Russia.The best 007 angalau hupotezi pesa yako kwenye kubugia pombe na kukula raha.

Ofisi saa tano usiku, ama ni hio AC imekuchanganya, 😂 😂 😂Mbona inakaa ofisi piga picha full na kwa nje tuone! Si unatuletea picha za lindo ulipopangwa leo!
Sasa wewe sI watchman upo lindo?Ofisi saa tano usiku, ama ni hio AC imekuchanganya, joto balaa😂 😂 😂
Tanzania hamna beer, zile ni changaa overratedHata uki gida pombe huku beer bei rahisi tunafikiria kuweka kwenye vending machines now au tuwe na automated bars kama Russia.![]()
Ofisi ina bathroom ndani???Sasa wewe sI watchman upo lindo?
Hio ni master bedroom, zoom utaona bafuMbona inakaa ofisi piga picha full na kwa nje tuone! Si unatuletea picha za lindo ulipopangwa leo!
Naona mama kaenda na Gulfstream G550
Wakenya hujituma thats the difference




Control and signalling ni vitu muhimu sana kwa usalama wa passengers sasa windows 7 inaweza ikahatarisha usalama wa abiria. Microsoft ameshaacha kutoa security updates and may be prone to hackers and viruses. Slight computer glitch may render the whole system inoperable.
Mama anaupiga mwingi kimya kimya LNG kapuni sasa zamu ya Bagamoyo lazima kieleweke akimaliza hapo mchuchuma na ligamgayaani sija-mention maksudi maana najua naysayers wangeni-attack!
Hiyo ni nyumba ya wageniMbona inakaa ofisi piga picha full na kwa nje tuone! Si unatuletea picha za lindo ulipopangwa leo!
Hiyo ni guest house huwezi kutudanganya hapaOfisi saa tano usiku, ama ni hio AC imekuchanganya,![]()
![]()
![]()
Sijakataa kuhusu kazi ya Nyerere. Nimekataa kuwa Tanzania Ina literacy rate kubwa zaidi Afrika Mashariki (according to the person I quoted). Kama Una ushahidi ku-support claim yako basi leta.Nyerere alifanya kazi kubwa sana hapo nyuma kisomo cha watu wazima walimu wa UPE pia najua vijana wengi hawajui haya mambo ndio maana mnabisha bila ushahidi.