Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Hata wewe nitakutagMbona haupost picha ya nyumbani kwenu.? 😂😂😂 Uki claim kwamba ni nyumba yako .? 😂😂
Hata wewe nitakutagMbona haupost picha ya nyumbani kwenu.? 😂😂😂 Uki claim kwamba ni nyumba yako .? 😂😂
Tag sahizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata wewe nitakutag
Hizi timu zimeshindikana EA, ila mm bado zinaniudhi issue za uwanja.Kesho hio.. naona hapo kuna 'over 1 billion'..
Au wanaenda kupindua meza ya hii ishu [emoji116]
Ngoja tuone
Huyu hata nyumbani kwao nahisi hali itakuwa tete, ona muandiko wake tu utagundua ni mtu wa aina gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona haupost picha ya nyumbani kwenu.? [emoji23][emoji23][emoji23] Uki claim kwamba ni nyumba yako .? [emoji23][emoji23]
Estim wanajenga pedestrian bridge pale aga khan hospital , zina link hospital zao . Jamaa kazi quality ni kubwa mnoKimara-Kibaha Highway kitu kimejengwa na indigenous company! Linganisha na Thika Highway by Chinese haina lane markings, na exits zimekaaa kikunyakunya! Mchina anawabeba na anawajenga Wakunya ujinga! And unfortunately, always!
Hivi jamani picha za nyumbani kwako mpk utoe ahadi? Kwani sahizi saa ngp kama c usiku huu, si inabidi mtu uwe nyumbani? Haya piga picha za kwako sahizi weka hapa tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vitu vizuri havitaki haraka, hata wewe nitakutag
Namuona Coco reborn a.k.a Coco Master akitafuta nyumba usiku huu apige picha atupie humu, ila leo nimegundua Wakenya wengi wa humu ni fukara sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi jamani picha za nyumbani kwako mpk utoe ahadi? Kwani sahizi saa ngp kama c usiku huu, si inabidi mtu uwe nyumbani? Haya piga picha za kwako sahizi weka hapa tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi namshinda huku napost getto ninalolala kwa usiku huu nikiwa zangu Runzewe 😂😂👇Hivi jamani picha za nyumbani kwako mpk utoe ahadi? Kwani sahizi saa ngp kama c usiku huu, si inabidi mtu uwe nyumbani? Haya piga picha za kwako sahizi weka hapa tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana mtu anatoa ahadi ya kupiga picha nyumba yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi namshinda huku napost getto ninalolala kwa usiku huu nikiwa zangu Runzewe [emoji23][emoji23][emoji116]View attachment 2258773yeye ni picha ya nyumba yake lakini eti mpaka atoe ahadi ya kupost [emoji23][emoji23] ilihali yeye yupo ndani sahii
Hana nyumba huyo jamaa maneno tu 😂😂😂Nimecheka sana mtu anatoa ahadi ya kupiga picha nyumba yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumba mchezo, we unadhani nyumba ni sawa na kupost post tu humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hana nyumba huyo jamaa maneno tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo huna hata banda la kupiga picha, unaishi kwenye miti?Keep them guessing