passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,837
- 13,070
Nyie ni sawasawa na watu mnaotingisha mbuyu kumbe mnatingisha makalio yenuMajirani wana kimbelembele sana trying to punch above their height.
Kenya Calls For Immediate Action After North Korea Fires 8 Missiles, Threatening World Peace
News Hub Creator
Jun 11, 2022 1:23 PM
Fear have engulfed Kenya after the Republic of North Korea was reportedly to have fired eight missiles using ballistic technology, this will be another way of elevating the already worse situation, thus compromising the existing peace in the Korean Peninsula.
Martin Kimani who is a Kenyan Ambassador in United Nations released his speech during United Nations Security Council meeting where he called on all member states to take immediate action to reverse the impending calamity that may be triggered by the war.
Mr Kimani worrieldly said that world nations are not safe from the war that may result as North Korea is using weapons of high quality. Kimani also noticed that Kenya is much concerned with non existence of diplomatic negotiations to resolve an ongoing disagreements which might increase the tensions and exposure to any possible disaster.
Kimani also related the effect of the war between Ukraine and Russia, which has caused adverse effects on the country, increasing poverty and economic hardships. His statement was meant to justify to Kenya to make a call for immediate action to peacefully stop North Korea from unleashing more ballistic missiles in Korean peninsula. He also appealed with all member states to stand firm and take action to stop another war from breaking out.
Huyo hana lolote, kupiga kelele ndio zake. Anafunguliwa hotspot then anakuja kutupima nayo akili hapa.Bado sana. Mbona usiweke kitu kama hiki. Tazama kwamba mobile hotspot yangu iko off ila symbol ya wi-fi bado ipo kwa screen.
View attachment 2257704
Hapa tazama wi-fi iko on.
View attachment 2257705
Cc Teargas
Huyu kichaa The best 007 apost screen shot yake mobile hotspot ikiwa off na wi-fi ikiwa on kama mimi venye nimefanya.Huyo hana lolote, kupiga kelele ndio zake. Anafunguliwa hotspot then anakuja kutupima nayo akili hapa.
Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.Mi sijui mimi focus yangu ni kwa JPM labda ukabila wangu ni kwa malaika tu!
100% sure.Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu. Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo. Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebisha a.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
If I'm sure of having electricity all the time why should I be worried about my phone charge? Najua Tanzania kukatika kwa stima ni kitu cha kawaida so lazima mkuwe tu na fear of your phones going off if you don't fully charge once.Alafu Wakunya hizi simu zenu ni za aina gani? Mbona karibia wote simu zenu hazikai chaji most of the time, wallahi I bet ufukara mlionao hauna kipimo ikiwa hata vitu vidogo tu vinawashinda basi mnunue japo betri mana najua simu zenu nyingi betri ni za kuchomoa. Mpaka wa leo watu wanatumia simu betri ya kuchomoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
watu wenye upeo huambatanisha facts na wanachoongea! Otherwise what u just wrote is a lame duck accusation! So chill out Magufuli worshipper! Najua nakukera halafu nagonga hapohapo Magufuli ni Mkabila wa Kisukuma!Mkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.
Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo. Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebishana.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nikisema wewe ni keyboard warrior mshamba hua sijakosea. UN Security Council hua na mikutano yao na every member hutoa mapendekezo yake. So ukisema hujaskia wengine wakiongea, kwani unaishii Kwa continent gani kama sio Africa na mwakilishi wa Africa ni Kenya. Ukitaka hata kuskia reviews za Denmark unaweza lakini media zetu hazina haja na mapendekezo ya Denmark ju wao wanawakilisha Nordic countries.Mbona sijasikia wengine waliokuwa kwenye security Council wakipanua domo kama Kenya? Hata kwa Russia si mlipayuka hivihivi baadae mkaufyata kwa aibu.
Kenya concern is insignificant to the big boys of this world you just have to know your place in the world affairs.
Hadi media za Kenya zinaonyesha habari wakati mkuu wa mkoa Arusha anasema hakuna majeraha yametokea. Tanzanian media ni bureGeza Ulole Wakenya hatutawacha hili jambo la Ngorongoro lipumzike. Tutahakikisha kwamba dunia nzima inajua kwamba nyie wajinga mnatesa wamaasai wenu. Ona neno Ngorongoro inatrend kwenye twitter ya Kenya nambari 6. Mtu yeyote anayeingia twitter Kenya atajua mlichowafanyia Wamaasai wenu. Halafu tunahakikisha media zote za dunia akina BBC, CNN wamejua mnachowafanyia wamaasai.
View attachment 2257486
Kenya we do value addition because we are more educated and have more industries.What are you producing and where do you sell those manufactured goods while all East African countries do import from Tanzania including Kenya?, Tanzania is the biggest exporter in this region.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mmerukia tu uzushi.Lengo lenu ni Dunia ituone kama wabaya.Hizo zama zimepita.Ni uzushi kutoka maagent wenu.You have failed.Killing humans for no reason. Wamaasai wanauliwa na polisi wa Tanzania bila sababu. Shamba ni maasai sio ya beberu
Matunda ya project za JPM hayo.... ingekuwa ndoto hadi tunakufa tusinge shuhudia sgr ya imeme tz ....sasa mama sa100 katuletea project za kukatana mapanga kama panya road project za mama hizi panya road fashion...arafu kuna mbwa wanasema panya road panya road kumbe panya road ni serikali yenyewe ...hata madawa ya kulevya wanauziwa na viongozi wa nchi
You might think its Tanzanians crossing over to Kenya to sell but no, its Kenyans crossing over to Tanzania to buy and bring the goods to Kenya[emoji23][emoji23]This is good evidence that Tanzania wanaleta raw materials (unfinished goods) alafu Kenya tunawarudishia kama finished goods. Hakuna vile munaweza ingiza lorry 3300 per month na sisi tuingize lorry 1000 na bado tuwashinde kwa export revenue. Yani mukileta gunia za viazi tunawarudishia kama packets of crisps, mukileta gunia za pareto tunawarudishia kama insecticides, mukileta gunia za machungwa tunwarudishia kama bottles of juice.
Mention one finished product from Kenya to Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Originally it was 30b now imepita miaka mingi gharama zimeongezeka cost yake now ni 40bn
Mara 40 bilioni mara 30 hii imekaaje wadau
endelea kujidanganya few weeks back there were trucks lined up at Namanga and there were over 90% Tanzanian registered trucks!You might think its Tanzanians crossing over to Kenya to sell but no, its Kenyans crossing over to Tanzania to buy and bring the goods to Kenya[emoji23][emoji23]
Acheni ukimbelembele wa kutumwa na Marekani kuweni na stand yenu kama Taifa.Nikisema wewe ni keyboard warrior mshamba hua sijakosea. UN Security Council hua na mikutano yao na every member hutoa mapendekezo yake. So ukisema hujaskia wengine wakiongea, kwani unaishii Kwa continent gani kama sio Africa na mwakilishi wa Africa ni Kenya. Ukitaka hata kuskia reviews za Denmark unaweza lakini media zetu hazina haja na mapendekezo ya Denmark ju wao wanawakilisha Nordic countries.
Hao Maasai wanaoleta vujo huko Loliondo wanatoka Narok county, Kenya. Sasa kwa wtz wenye upeo mdogo wanafikiri hao ni wenzetu. Nachohisi,huu mgogoro utachukua mda mrefu Sana.Hadi media za Kenya zinaonyesha habari wakati mkuu wa mkoa Arusha anasema hakuna majeraha yametokea. Tanzanian media ni bure
https://www.facebook.com/View attachment 2257749
Geza i knw what im saying, we go for rice all the way to morogoro , timber, sunflower cake, rice bran, tunazileta kenya to sell, you think we come with empty kenyan lorries, zii mzee nikitaka lorry kuna hapo msamvu nitapata ata semi itinge Nairobi, kazi yenyu ni kungoja wakenya waje kununua[emoji23]endelea kujidanganya few weeks back there were trucks lined up at Namanga and there were over 90% Tanzanian registered trucks!
Inashangaza sanaMkuu, hata Magufuli ungemuambia ni mkabila angekataa, lakini watu ndio waliona(wewe) yeye ni mkabila, ndivyo sisi watu wa nje tunavyoona mazungumzo yako. Wewe ni mkabila Sana, kiburi na kutojali mawazo ya wengine, kujifanya mjuaji wa kila kitu.
Kama ukipewa madaraka hata ya mkuu wa Wilaya, ungemzidi hata Sabaya, mkuu wewe ni hatari, hufai hata kidogo. Magufuli pamoja na kiburi chake chote, ukatili wake wote, wewe ni zaidi, huo ndio ukweli mkuu. Samahani Sana Kama nitakukera, lakini ni vizuri tuambiane ukweli, hatujuani kwa sura, ni rahisi kurekebishana.
Tony254
Justinr
The best 007
ichoboy01
game over
NDINDA
7seven
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app