Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

9.92.!πŸ”₯πŸ”₯ kenya's ferdinand omanyala vs south africa's akani simbine battle for gold in port louis, mauritius 9thjune2022.. see for yourself πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

 
Ilo mimi nililipinga toka kipindi cha jpm ...kwa sababu uwezi kukomboa taifa kwa kusujudia wakoloni ....jengo la ******* kabisa hilo linawafaa mramba maviii ya wazungu na waarabu kina sa100 na kina kikweti ....mtu kama mimi ningelivunja siku moja tu
 
Ilo mimi nililipinga toka kipindi cha jpm ...kwa sababu uwezi kukomboa taifa kwa kusujudia wakoloni ....jengo la ******* kabisa hilo linawafaa mramba maviii ya wazungu na waarabu kina sa100 na kina kikweti ....mtu kama mimi ningelivunja siku moja tu

Punguza kulia lia kwa afya ya mwili wako.
 
Hilo jengo la TRC Dodoma limezingatia biashara ya shirika hence limechukua muundo wa wagons za train ni ubunifu tuu.
Tunataka ubunifu positive na wakisasa siyo neno kama treni
 
Huo mlango kwenye sgr Station hautakiwi uwe mkubwa kumbuka hilo jengo ni green halafu ni full kiyoyozi milango mikubwa ya automatic itakaaje hapo. Milango mikubwa inakaa sokoni na kwenye Station ambazo hazina viyoyozi.
Hivi majengo ya kisasa kama mahoteli hayana viyoyozi ???? Hilo jengo limekosa sura nzuri ya mapokezi
 
Kwahiyo JPM alifanya la maana ku-copy na ku-paste pale?
Kwasababu hakukuwa na hilo jengo before na wala hakukuwa na wala hakukuwa na dalili za kujenga huko nyuma haina shida wacha hilo hilo linatosha kuliko kutokuwepo kabisa, nchi inaweza ikawa na choice zake, inaweza ikataka yenyewe kuwa na majengo fulani yanayofanana shida nn? Mbona majengo mengi mapya ya mahakama kama sio yote yanafanana?
Mbona mnaleta mambo ya kitoto hivi? Unaweza ukaniambia ikulu ya Dar inafanana na ikulu gn nyingine ukiacha ya Dom?
 
Kwenye uwanja ilikuwa sahihi kwa sababu kale kauwanja ka uhuru siyo......sema labda useme tunatakiwa kuwa na uwanja mwingine mkubwa dar hivyo huo ujengwe kwenye wilaya nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…