joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, Nyumba za serikali ziliuzwa kwa idhini ya bunge la Tanzania kuridhia ziuzwe, fuatilia haya Mambo kwa undani.Mbona hakurudisha nyumba za serikali alizojigawia yeye na wana CCM wenzie Oysterbay? Bilicanas na Much more zipo tangu 1990s na kabla ya hapo Mbowe hotel chini ya Marehemu babake Freeman ila kuja kuvunjwa kwa madai ya kujigawia 2015? Kaka hebu kuwa fair kidogo! Mbaya zaidi Ngosha huyuhuyu mwenye roho ya kwanini alijaribu ku-replicate alichoharibu Kaskazini Chato akashindwa! Hasidi haina hiyana!
Mbowe hotel predecessor wa Club Billicanas ilikuwepo tangu 1973!Mkuu, Nyumba za serikali ziliuzwa kwa idhini ya bunge la Tanzania kuridhia ziuzwe, fuatilia haya Mambo kwa undani.
Kuhusu hiyo Billicanas, ni kweli kwamba ilikuwepo tangu 1990s, ndio kipindi hicho cha Mwinyi ambacho watu matajiri akiwemo baba yake Mbowe walijimilikisha Nyumba za serikali, mkuu mbona huzingimzii Nyumba zingine nyingi ambazo zilirudishwa pamoja na Billicanas, Kuna watu wengi tu walijimilikisha hizo Nyumba toka miaka hiyo ya 1990s na zilirudishwa, kwanini unamtetea Mbowe peke yake?, Kwani kosa linachakaa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mbowe alishinda kesi ya kuharibiwa mashamba yake DC akaagizwa na mahakama amlipe mbowe 300m. DC akawa anataka na mwanasheria mkuu wa serikali nae aingizwe kwenye kesi ili serikali ndio ilipe lakini sijui kesi imeishia wapi sasa hivi.Mkuu, mbona watu wakiwemo wapinzani ndio ambao walipokua wakikamatwa na polisi na kuwekwa ndani, walitaka wapelekwe mahakamani haraka?, Lissu alikua na kesi mahakamani zaidi ya 9, Kati ya hizo, 5 alishinda, kwa wapinzani wakishinda kesi, utasikia mahakama imetenda haki, ila serikali ikishinda kesi, utasikia ni mahakama za CCM/Magufuli.
Kama kweli alifanyiwa vitendo vya dhuluma, alipaswa kufungua kesi mahakamani, Kama aliamua kukaa kimya, Hilo ni tatizo lake, lakini ni wazi kwamba alijua hawezi kushinda kwasababu hana haki.
Kwahiyo mahakama zikiwafunga Sabaya na wenzaje, hapo zinatenda haki, ila zikiwafungia Fatuma Karume, Lissu na viongozi wa Upinzani, zinageuka kuwa za CCM
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mzee nachojaribu kusema hapa roho ya kimaskini ni ya kichawi!Mkuu, Nyumba za serikali ziliuzwa kwa idhini ya bunge la Tanzania kuridhia ziuzwe, fuatilia haya Mambo kwa undani.
Kuhusu hiyo Billicanas, ni kweli kwamba ilikuwepo tangu 1990s, ndio kipindi hicho cha Mwinyi ambacho watu matajiri akiwemo baba yake Mbowe walijimilikisha Nyumba za serikali, mkuu mbona huzingimzii Nyumba zingine nyingi ambazo zilirudishwa pamoja na Billicanas, Kuna watu wengi tu walijimilikisha hizo Nyumba toka miaka hiyo ya 1990s na zilirudishwa, kwanini unamtetea Mbowe peke yake?, Kwani kosa linachakaa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu, hili la Billicanas lilipitia mahakamani na Mbowe alupoteza hiyo kesi, Mbowe alikata rufaa na bado akapoteza hiyo kesi, tunapaswa kufuata Sheria na taratibu za Nchi zilizopo pamoja na kuheshimu maamuzi ya mahakamaMbowe hotel predecessor wa Club Billicanas ilikuwepo tangu 1973!
Kuna hii pia! Jamaa alikuwa anandaa mazingira ya kubaki madarakani milele!
Mbowe given 14 days to pay levy for hotel
Chadema national chairman Freeman Mbowe has been given a 14-day ultimatum to pay service levy for a hotel he owns in the area.www.thecitizen.co.tz
Wacha unafiki mahakama kipindi cha JPM hazikuwa free! Unajua judge wa kesi yake alituzwa nn baada ya hii hukumu? Hebu chunguza! BTW tusibishane sana Ila JPM hakuwa kama mnavyolazimisha tuamini!Mkuu, hili la Billicanas lilipitia mahakamani na Mbowe alupoteza hiyo kesi, Mbowe alikata rufaa na bado akapoteza hiyo kesi, tunapaswa kufuata Sheria na taratibu za Nchi zilizopo pamoja na kuheshimu maamuzi ya mahakama
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ninakubaliana na wewe kwamba "he was very controversial", lakini mazuri yake ni mengi Sana kuzidi mabaya yake. Kabla ya Magufuli nchi ilikua imeoza kwa rushwa, ubadhilifu na upuuzi wa kila aina, CCM ilikua inakaribia kusambaratika, watumishi serikalini walikua wanafanya kazi wapendavyo, masikini hawakuwa na haki, watu walinyang'anywa mashamba Yao na matajiri wakishirikiana na viongozi wa serikali, Magufuli alifanya kazi kubwa Sana kurekebisha hayo makosa yaliyofanyika kwa muda mrefu.Mzee nachojaribu kusema hapa roho ya kimaskini ni ya kichawi!
Leo hii tunashangilia success ya TAHA kusafirisha maparachichi ila chimbuko lake hatujui ni mashamba ya horticulture kama ya Kilimanjaro veggies yaliyotapakaa Kilimanjaro na Arusha!
Ndio maana nasema JPM alikuwa way controversial ! Natamani kiandikwe kitabu juu yake kikimulika matendo yake kiunagaubaga!
Its not true!Piga hesabu $500mil ya mwaka 1978 unapata kiasi gani kwa ss ndio utapata jibu kwnn tulipoteza nafasi yetu ya u super power wa EA kwa miaka ile mpk pale Magu alipoirudisha status yetu.
Naona umeishiwa hoja.Wewe unawazimu sio bure,unafikiri kwa kutumia miguu
Ni kweli hakuwa Kama tunavyolazimisha, lakini pia hakuwa Kama ninyi mnavyolazimisha, alikua na mabaya yake mengi tu, lakini sio Kama mnavyojaribu kumchafua.Wacha unafiki mahakama kipindi cha JPM hazikuwa free! Unajua judge wa kesi yake alituzwa nn baada ya hii hukumu? Hebu chunguza! BTW tusibishane sana Ila JPM hakuwa kama mnavyolazimisha tuamini!
Wacha wee ati imepata nguvu kipindi cha JPM labda TAHA ya Chato! BTW cargo plane imeagizwa budget 2021-2022 after JPM is dead! Hivi unajua TAHA walishawahi kukodisha cargo plane kabla 2009?Ninakubaliana na wewe kwamba "he was very controversial", lakini mazuri yake ni mengi Sana kuzidi mabaya yake. Kabla ya Magufuli nchi ilikua imeoza kwa rushwa, ubadhilifu na upuuzi wa kila aina, CCM ilikua inakaribia kusambaratika, watumishi serikalini walikua wanafanya kazi wapendavyo, masikini hawakuwa na haki, watu walinyang'anywa mashamba Yao na matajiri wakishirikiana na viongozi wa serikali, Magufuli alifanya kazi kubwa Sana kurekebisha hayo makosa yalitofanyika kwa muda mrefu.
Hiyo TAHA unavyosema, imeanza kupata nguvu katika kipindi cha utawala wa Magufuli, ni Magufuli ndiye aliyeagiza Ununuzi wa ndege maalumu ya mizigo ili kupunguza utegemezi wa wakulima wa maua ktk mikoa ya kaskazini (ambao unasema anawatenga)kwa Nairobi, ili maua Yao yasiharibike kwa kutegemea Nairobi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
How do Kenyans have better life when food is a major challenge to almost everyone?
Hiyo mipango ya kuagiza hiyo ndege pamoja na budget alishaagiza Magufuli, kinachofanyika ni kutekeleza Maono na maagizo yake, kuwa mkweli, ni kipindi kipi TAHA ndio imeanza kupata nguvu? Kikwete, Magufuli au Samia?Wacha wee ati imepata nguvu kipindi cha JPM labda TAHA ya Chato! BTW cargo plane imeagizwa budget 2021-2022 after JPM is dead! Hivi unajua TAHA walishawahi kukodisha cargo plane kabla?
Baki na unachoamini! Si mahakama si Bunge havikuwa independent!Ni kweli hakuwa Kama tunavyolazinisha, lakini pia hakuwa Kama ninyi mnavyolazimisha, alikua na mabaya yake mengi tu, lakini sio Kama mnavyojaribu kumchafua.
Ninalolisema kwa Magufuli, pia ninalisema kwa Samia, Mambo mengi anayosemwa ni kujaribu kumchafua. Mkuu Magufuli alikua na matatizo ninakubali, lakini mengi unayoyasema unamsingizia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kipindi anakufa JPM bajeti ilikuwa haijapitishwa JPM alikuwa anatembelea ahadi! Sasa endelea kubisha kama Wakenya!Hiyo mipango ya kuagiza hiyo ndege pamoja na budget alishaagiza Magufuli, kinachofanyika ni kutekeleza Maono na maagizo yake, kuwa mkweli, no kipindi kipi TAHA ndio imeanza kupata nguvu? Kikwete, Magufuli au Samia?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nakuahidi, hakuna mkenya hata mmoja atasoma hizo hekaya zenuWakuu naomba tuhame apo turudi kwenye agenda ya msingi tunamwaga sana mchele kwenye hawa kuku wa North
Mkuu naona umeishiwa ni kama unasema kipindi jpm anakufa pesa za lot 4 sgr hazikuwa zimepitshwa kwaiyo ulitaka apitishe iyo bajeti huko kabburini auKipindi anakufa JPM bajeti ilikuwa haijapitishwa JPM alikuwa anatembelea ahadi! Sasa endelea kubisha kama Wakenya!
Kumbe all along wakenya wakisema magufuli was a dictator ulikua unakubali kimoyoni, sasa nani hapo ndio mbishi mkenya ama mtz[emoji23], that guy was bad news, see trade between the two countries flourishingKipindi anakufa JPM bajeti ilikuwa haijapitishwa JPM alikuwa anatembelea ahadi! Sasa endelea kubisha kama Wakenya!