The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Zitarudi vipi? Viwanja vinakarabatiwa kwa ajili gani?Haswa approach wanayoenda nayo ya kutumia budget ya serikali bila ya kuoainisha zitarudi vipi! Ila PPP inawezekana na viwanja vya CCM haswa Kirumba unalipa. Ni jinsi ya modalities zinakuwa formulated! Angalia hata Spain na France jinsi wanafanya kabla ya ku-host tournaments!
Acha mabinti wapambane ....Aisee Under 17 nikitu ya kusherehekea kweli. Mbona tulishinda U16 ya Africa na hatukujigamba. Juzi tumeshinda volleyball club cup ya Africa na tumetulia. Wacheni Kuhype mediocrity,View attachment 2252499View attachment 2252500View attachment 2252501View attachment 2252502
Kuna jambo nimetaka kuuliza kwa muda. Hivi viwanja vya CCM vilijengwa na pesa ya wanachama wa CCM au vilijengwa na pesa ya serikali ya Tanzania? Na kama vilijengwa na pesa ya serikali basi kwa nini viitwe viwanja vya CCM?
Lilikuwa jina tuu kwa ajili ya mradi wa kuboresha miundombinu kwenye majiji 6 chini ya WB,ilianza sanajali na DART ambayo bado inatekelezwa under phases..Hivi ile project iliyokuwa chini ya Tamisemi ilikuwa inaitwa Tanzania cities Strategic project imekufa?
Wakati Magu anakufa ilikuwa kuna miradi kwenye miji mingi tu ikiwemo stendi za mabasi na masoko Arusha, Kagera nk.
Miradi hii ilikuwa ianze Toka last year ila kimya, kuna anayejua?
Hawa watu ni jeuri sana na wengi wao hawajui ni kwa kiasi gani they depend on us laiti wangejua wangeiheshimu sana Tanzania!Duu sasa wakenya huko kwao wanazalisha nn kama mpaka asali tunawuzia
Wewe Sukuma gang acha kujichekesha kama unatekenywa..Kirumba hakuna timu ya ligi kuu unakarabatiwa iweje acheni usukumagang😝😝
Hawa watu ni jeuri sana na wengi wao hawajui ni kwa kiasi gani they depend on us laiti wangejua wangeiheshimu sana Tanzania!