Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Mimi kwetu ni Iringa, Mbeya nimesoma huko wakati Niko secondary, na huwa naenda mara kwa mara kwa mishemishe za maisha
Sasa unasema mbeya mbona husemi kisumu your third largest town kupata it’s traffic lights mwaka jana ?
 
RRONDO na The best 007 Nakubaliana nanyi. mimi pia nimekataa huo mfumo wa matusi. Tuna mengi ya kujifunza humu. Tuwe wastaarabu kwa wenzetu. Uzi huu ni wa kujifunza mambo mapya. Mambo ya matusi au kejeli sioni kama inatusaidia hapa.
 
Kaka wewe unafikiri jina la Kunyaland lilikujaje? 80% ya hawa watu wapuuzi!
 
Kwanini afananishe Tabora na Turkana?

Tabora inailisha Kenya na kuilewesha at the same time, mnapata asali kutoka Tabora na Sigara mnavuta kutoka Tabora, Turkana inaleta nini Tanzania?
Sasa sio kila kitu lazima upinge. Kama unajua Tabora inazalisha vyakula na Turkana haizalishi sasa unapinga nini? Vitu vingine ni obvious.
 
Kuna jambo nimetaka kuuliza kwa muda. Hivi viwanja vya CCM vilijengwa na pesa ya wanachama wa CCM au vilijengwa na pesa ya serikali ya Tanzania? Na kama vilijengwa na pesa ya serikali basi kwa nini viitwe viwanja vya CCM?
 
Wew si ndo ulikuwa unasema serikal ikarabati ccm kirumba kwa partnership 🤣 ili tu usijengwe uwanja mwingine wa serikal mwanza
Nimeuliza makubaliano (partnership)! Sijasema wakarabati kiholela kama inavyoendelea! We engineer vp? Huwezi ukaacha CCM Kirumba ikaendelea kubaki vile na pale ni prime location! Mbona SA wali-partner na private owners kipindi cha World cup waka-modernize baadhi ya viwanja?
 
Haya wanaenda kukarabat viwanja vyote hiv vya ccm.. watu saiz wanalalamika
 
Unaona sasa watu wanashangaa.. kuna mtu alisema serikal iingie partnership wakarabat CCM kirumba ili eti tu uwanja mpya wa serikal usijengwe.. nikasema nan (wapinzan) atakubal ccm ipewe hela na serikal ikarabati viwanja vya ccm
Idea niliotoa si ngeni Mbali na SA hata Ujerumani ili-partner na other stakeholders kuboresha viwanja! Huwa hawajengi viwanja vyote vipya! Ingia online upate uelewa mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…