Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Za unatuonyesha barabara za two lanes alafu?
please please tuusan, refresh your loins with this amazing clip of 2020, op bado unaifahamu. naskia hii video ilizua hisia kali zaidi Tz, ata waTz kuikashif serikali yao jinsi kenya inapiga hatua nje ya nbi, huku tz nguvu zote zikitiliwa tu dar na dar pekee.. u can get this reactions kwenye twitter and fb, and laugh a bitter. i told u waTz mnajisumbua sana na kenya, bado hamskii



i mean this video here 👇🏽👇🏽

 
Economy while you are not at peace, any time you can be killed just because you don't belong to Kikuyu Nation

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
haya.. zidini tu kuji console hivyo, while in the real sense, kenya tuko vizuri zaidi kwa kila kitu. we are infact very peaceful.
ata ratings zikifanywa sasahivi na UN, utakuta wakenya wana kula vizuri zaidi, wananyuka vizuri zaidi, wanaishi kwenye vyumba murwa zaidi, wana matibabu bora zaidi na wana masomo bora zaidi shinda tz.. am tell u🤔.. am rest assured.! infact we can bet for $1m🤚🏽

nb:
kuanzia lini tz ikaizidi kenya kwa chochote !?.. ukweli ni kwamba hakuna.! ata waTz wanajua hilo vizuri sana, ila tu kibri kawapanda, mnajifanya kukataa matokeo iliyo wazi kabisa..
 
haya.. zidini tu kuji console hivyo, while in the real sense, kenya tuko vizuri zaidi kwa kila kitu. we are infact very peaceful.
ata ratings zikifanywa saahivi na UN, utakuta wakenya wana kula vizuri zaidi, wananyuka vizuri zaidi, wanaishi kwenye vyumba murwa zaidi, wana matibabu bora zaidi na wana masomo bora zaidi shinda tz.. am tell u.. am rest assured.! infact we can bet for $1m

nb:
kuanzia lini tz ikaizidi kenya kwa chochote !?.. ukweli ni kwamba hakuna.! ata waTz wanajua hilo vizuri sana, ila tu kibri kawapanda, mnajifanya kukataa matokeo iliyo wazi kabisa..
Unasema nini wewe..
Yani Tz haijazidi kenya kwa chochote
Unaumwa wewe asubuhi hii
 
but u are very much ware tht kenya we don't have natural gas.. also south africa, even mauritius and botswana yet?.... malizia wewe mwenyewe
Lpg in Tz is also imported. What that means is we have better lpg handling facilities at our ports than what you have in Mombasa this gives us an upper hand in re-exporting lpg to you lazy ones.
 
Juzi KQ ya usiku imekuja ikiwa na livery ambayo co ya kq na kila siku inakuja na livery ya kq which means haikuwa ndege ya Kenya

Hii imethibitisha kwamba shirika limeshajifia lina ndege 3 chakavu ambazo ndio wakunya wanakisifia humu ilihali TC ina ndege 11 brand new na nyingine 6 zinakuja
Stop lying, ilikua ndege ya saa ngapi sartuday i prove your wrong saa hizi
 
but u are very much ware tht kenya we don't have natural gas.. also south africa, even mauritius and botswana yet?.... malizia wewe mwenyewe
Since when did business sound like a favor, badala ushukuru mkona soko Kenya
 
By the way i dont think we will argue in anything with that childish manner of yoursdunderhead dont waste any of my time, keep your idiotism for yourself.
You're right. Me and you have nothing to discuss. Go talk to dolts of your kind, the ichoboys, the best 7, joto la jiwe and such.
 
Hahaha, tulishapita hiyo stage ya kuzunguka na kujali "mobile" phones. I am not your age, I used too much time to deal with mobile phones when I was at your age, after that stage, I shifted to buy cars, now I am in the village taking care of my goats, cows and chickens.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Haaaa mbona umesahau kuwafuga hata wa kenya wawili hawa hspa
 
Hahaha, tulishapita hiyo stage ya kuzunguka na kujali "mobile" phones. I am not your age, I used too much time to deal with mobile phones when I was at your age, after that stage, I shifted to buy cars, now I am in the village taking care of my goats, cows and chickens.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You don't know my age sir. Let's not talk about it. A good phone is a necessity in the modern era. The kind of phone you're using, you're probably struggling to post stuff with it here.......and stop this nonsense about not having time, you're always on this forum everytime I log, you have too much time. You're just broke. Accept it.🚮
 
Yeah..ni kweli
Domestic routes ndo zinalipa kwa ATC hata CAG alisema hilo
Juzi nilikuwa nacheki route ya mbeya ..hamna seats kama siku 3 mfululizo

..Cha kwanza Goverement iziimarishe Domestic Airports ..

Najua Mbeya imafanyiwa Marekebisho ya runway na mwaka huu watamaliza.

Route ya Mbeya kuna siku inawateja wengi inahitaji A220s kwa masaa mengine..

Nimeshangaa kwann ATC wameagiza Q400 moja tu safari hii..kwa upeo wangu wanahitaji Q400s hata 4 nyingne ..wawe nazo 10 jumla.

Kwann nasema hivi..

Kuna route zinahitaji Kuongezewa Frequency kama .Mbeya , Kigoma..

Kuna route soon zitaongezwa Freq ..Kama Songea

Bado hawajaanza kuruka to Musoma, shinyanga, Iringa, Tanga, Pemba , Mombassa , Lake Manyara , Lindi (With LNG coming lazima utakuwa mji mkubwa..

So Q400s si chini ya 3 ilibidi ziongezewe ..

Kwa International Hyo 787 na 737 Max 9 zitazokuja zitatuweka sawa...Maana Max 9 ita free 787 kwenye route ya mumbai

Last week nlienda Mbeya ni kweli japo kuna kitu huwa sielewi, kuna wakati nlifanya booking ya Dodoma yaani kwenye website naona last 1 seat kwa economy class ila after check in unakuta cabin in seat kibao empty ,
Kuna some politics kwenye shirika and if this isn’t taken care of italigharimu shirika,
Again gharama ya ticket ya mbeya is way too expensive. Wakati wa fastjet nakumbuka nlikuwa natumia less than 200k return , now with atcl ni zaidi ya 400k . This is quite expensive kwa domestic trip tena ya lisaa.
 
Back
Top Bottom