Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sukuma wiki wazungu wanaiita kales
View attachment 2250558
View attachment 2250560

Cc NDINDA coodip1 Geza Ulole
Nyie mnaiitaje huko kwenu?
Inaitwa hivyo hivyo sukuma wiki, hilo jina limetokea Tz hiyo mboga huku kwetu ni kama mboga ya kuleta hamu, yn unakuta kuna mboga zingine alafu mboga ya majani lazima iwepo sasa hapo ndio utakuta mtu ana mboga nyingine alafu na mboga ya majani pembeni kama sukuma wiki na nyingine. Ila nyie kwenu hiyo ikipikwa ndio inakuwa mboga yenyewe hiyo hiyo moja.
 
Mbona mazungumzo yameenda haraka Sana?

IMG_20220604_201920.jpg
 
Amenishangaza sn bwana Tony kulinganisha mapato ya minerals na remittance, hyo $3.7b GoT imepata kwenye kodi tu hapo hazijahesabiwa pesa ambazo Watz na wasio Watz wanapata na kupeleka nyumbani kama hizo remittance, mzunguko wa money from mining ni mkubwa mno inaweza ikawa mara 10 ya pesa za remittance, kwanza remittance co source of govt income unawezaje kulinganisha na Govt revenue from mining industry?
Hesabu za CPA holder [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimegundua ni jamii ya Cabbage. Nimegundua hata Spinach zipo za aina Nyingi pia.
Bongo sisi tunakula sana Tembele, Mchicha, Spinach, Figiri, Majani ya maboga na Cabbage. Sio vigeni sokoni na magengeni.
Ukienda soko la uhindini kisutu unayakuta wanayaita hivyohivyo sukumawiki au kales!
 
Hata hio mapato yenu ya madini ya $3.5 billion ujue most of it inaenda kulipa expenses kama salary, maji, stima ya mining companies. kisha sehemu fulani inaendea GoT kama taxes, dividends and royalties kisha sehemu fulani inabaki na investor kama faida. Mimi sio mjinga unidanganye kwamba hio $3.5 billion yote inakwenda kwa serikali ya Tanzania. Wewe na The best 007 tafuteni mjinga mwingine wa kudanganya. Mimi sidanganyiki virahisi.
Tony I thought kwa CPA yako usingepata tabu kutofautisha kati ya tax revenues na non tax revenues. Hiyo 3.5bn ni tax revenues inayopatikana kwenye 30% corporate tax, pay as you earn tax (PAYEE) na VAT kwenye Fuel and Oil.

Non tax revenues ni royalties i think ni 6%, mining profit out of mandatory share ya serikali kwenye mgodi, skill development levy na CSR.

Hapo bado hatujaweka taxes kwa suppliers wa migodi na other services providers.
 
Baada ya Viongozi wa Kunyaland kumpuuza Balozi wao,amshobokea VP wetu 😆😆
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-201408.png
    Screenshot_20220604-201408.png
    187.5 KB · Views: 26
Hesabu za CPA holder [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnajaribu kudanganya watu kwamba hayo mapato ya madini ya $3.5 billion yote yanaenda GoT. Upuuzi mtupu. Some of it inaenda kulipa expenses za kampuni, zingine zinaenda GoT na zingine zinabakia na mwekezaji kama faida. By the way faida ya mwekezaji huwa inatumwa nchini mwao so hio faida mwekezaji huwa anairudisha kwao nyumbani whether ni Australia, Canada e.t.c. Hio ndio inaitwa "profit repatriation"

Screenshot_20220604-204235.jpg

Cc The best 007 chongchung
 
Nadhan ni majani ya maboga
Sio majani ya maboga.

Sukuma wiki ni mboga ya majani ambayo ni ngumu Sanaa kupika hasa ikikomaa. Japo ni tamu sana ikipikwa na watu wanaojulia.

Tofauti ni huko kunyaland wakipika ni kama majani ya katani vile.. Maana hawajui kuunga mboga.
 
Tani 22 za Parachuchi ya Tanzania zawasili Uholanzi..

Tunazidi kufungua soko la Ulaya👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-201519.png
    Screenshot_20220604-201519.png
    186.4 KB · Views: 28
Serikali ya Tanzania yatenga pesa sh.bil.4 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za Binadamu mjini Arusha 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220604-130450.png
    Screenshot_20220604-130450.png
    110.9 KB · Views: 28
  • Screenshot_20220604-131103.png
    Screenshot_20220604-131103.png
    112.7 KB · Views: 29
Mnajaribu kudanganya watu kwamba hayo mapato ya madini ya $3.5 billion yote yanaenda GoT. Upuuzi mtupu. Some of it inaenda kulipa expenses za kampuni, zingine zinaenda GoT na zingine zinabakia na mwekezaji kama faida. By the way faida ya mwekezaji huwa inatumwa nchini mwao so hio faida mwekezaji huwa anairudisha kwao nyumbani whether ni Australia, Canada e.t.c. Hio ndio inaitwa "profit repatriation"

View attachment 2250583

Cc The best 007 chongchung
Acha ujinga,hayo ni mapato ya serikali moja kwa moja kama hii Til.3 ya Utalii 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220603-132113.png
    Screenshot_20220603-132113.png
    138.4 KB · Views: 29
Mnajaribu kudanganya watu kwamba hayo mapato ya madini ya $3.5 billion yote yanaenda GoT. Upuuzi mtupu. Some of it inaenda kulipa expenses za kampuni, zingine zinaenda GoT na zingine zinabakia na mwekezaji kama faida. By the way faida ya mwekezaji huwa inatumwa nchini mwao so hio faida mwekezaji huwa anairudisha kwao nyumbani whether ni Australia, Canada e.t.c. Hio ndio inaitwa "profit repatriation"

View attachment 2250583

Cc The best 007 chongchung
Kama hiyo $3.7bn inajumuisha na pesa ya investor ambayo inarudishwa kwao iweje waseme Tz imepata $3.7bn kwenye mining? Inakuwaje na pesa ya investor iwe ni ya Tz?
 
Back
Top Bottom