Uzuri umekubali kwamba Kenya ina uchumi mzito.Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.
Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.
Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.
Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.
Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873
Machinga Kambi popote .
View attachment 2248874
View attachment 2248875
Watu wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878
Typical Third world city type with African broken streets.
View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887
Mnyonge mnyongeni ila Girrafe Manor ni Bonge la Idea ..na tourism site ...i would love Tz iwe na sehemu kama hyoMauricio Icardi at Giraffe Manor Nairobi
View attachment 2248778View attachment 2248779View attachment 2248780
Sitaki kujua Buruburu, nataka 11k za Uhuru 😂😂😂😂Hapo sio Buruburu jomba. Unaijua buruburu au unaisikia tu?
Dah aisee 😅😅😅😅Uhuru Kenyatta ndio dawa yenu. Yaani tangu Tuesday hatujakuwa na amani humu? Yaani mumewashwa na kauli yake ile mbaya.
Tumewapa world bank, mnakimbia, KNBS hamtaki kuwaskiza, Roads Board mnachukua tu ka sehemu kenye mtu ame quote not even their website.,Leo hamuna fact ya kuleta mmebaki kutukana tu 😂😂😂 kweli mmeshinkwa pabaya
Aliekuambia hizo barabara zote ni za lami ni nani?Kenya Roads Board wako na website, kila kitu wameanika maps na how to measure, wewe mwenyewe unapima, nilisema kila mti mtakwea utateleza., sasa ukidhibitisha Kenya has 23,000km tafadhali njoo uhadithie na wenzako kama vile baba levo alishuhudia Nairobi akakuja kuwahadithia kupitia wasafi radio., alishangaa hizo uchafu mnapost huku kuhusu Nairobi kwa ground sio vile😜😂😂😂😂😂
View attachment 2249265
2. Nyahua Chaya 85 kilometersBarabara zilizozinduliwa na kutiwa sahini za ujenzi hivi karibuni Tanzania
1. Tabora Mpanda 343 kilometers
🛣️ 343
Kazi rahisi sana.., tembelea hapa., links ni kibao ndani ya website ya Kenya National Bureau of Stattistics..,Tupe budget ya serikali on roads construction kwa hiyo period uliyosema that most roads were built. Tukipata budget zake tutajiridhisha na kukubali.
Nani amesema ni za lami? mbona wewe Mwehu? unajaribu kukwepa eti? 🤣 😂 😂 😂 😂 😂 nimesema click the website ufanye utafiti.., si mnataka facts., kila kitu tunawapea wazi wazi., we are not CCM.,Aliekuambia hizo barabara zote ni za lami ni nani?
Kaumia [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si ni ukweli Dar sio slum 90%.., na Tanzania sio fukara EAC yote? ama aje soja boy?
Nilitembea huko last year kulisha twiga. NDINDA anasema Wakenya hatupost picha zetu. Kitu ambacho nimeshika katika mkono wa kushoto ni chakula cha twiga.Mnyonge mnyongeni ila Girrafe Manor ni Bonge la Idea ..na tourism site ...i would love Tz iwe na sehemu kama hyo
3. Dodoma Ringroad 112 kilometers2. Nyahua Chaya 85 kilometers
🛣️ 428 km
Umewashika pabaya sana na kuanzia sasa wamekoma kuleta habari za uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kinawashinda nini kuleta hizo barabara hapa, yaani hata hafla za mikataba ya mkandarasi na serikali yenu hawakupiga pictures? [emoji23][emoji23][emoji23]
How much is the entrance fee.?Nilitembea huko last year kulisha twiga. NDINDA anasema Wakenya hatupost picha zetu. Kitu ambacho nimeshika mkononi ni chakula cha twiga.
View attachment 2249284
resources, its the mentalityNever say never...resource rich country like Tz its a matter of time things are booming like fire works...the time you'll realise that we r not the same
Hizi nazo ni road za kusubiri uzinduzi wajameni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafikiria Kenya ni Tanzania kila kitu ni hafla? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ata sikumbuki outer ring ikiwa na hafla ilipojengwa.., Red hill haikua na hafla,., yaani ujenzi mingi ya barabara Kenya haina hafla, tulizoea bana, kila kitu sio mbwembwe ama sherehe shenzi type, yaani umelemewa unatafuta vijisababu uchwara, nyambaff, jipe shughli ulcers itakumaliza mzee, usife kwa pressure bure[emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe umepanic, pumzika kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]23,000KM of paved road network in Kenya vs 11,000km in Bongolala., inaumaaa!!! [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12], poleni watani sio kwa kupenda kwetu, ni Kenya ilivyo.
chongchung a.k.a Avtomat Kalashnikova the Ak 47 machine hawatomsahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu chongchung hongera kwa kazi iliyotukuka ya kuwabana hawa wahuni.. ebu wape mfano..post barabara zote za bongo zilizozinduliwa kuanzia sasa kurudi nyuma hadi 2015.. post na distance.. kila unapopata nyingine, jiqoute afu jumlisha hizo distance..mwingine atakaekuquote asisahau kujumlisha distance
I challenge kenyans to do the same