Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni KRA. Umefurahi sasa?
 
Sawa NDINDA Dar is a slum imeishinda Nairobi. Umefurahi sasa?
 
Tupe budget ya serikali on roads construction kwa hiyo period uliyosema that most roads were built. Tukipata budget zake tutajiridhisha na kukubali.
Ingia hapa Kenya roads board ujionee usibishe..,
 
Tukienda hivyo unavyofanya wewe hata Dar Mwanza ni 1000km lete evidence ya inauguration ya hizo barabara zote za 11k km
I can't feed this idiocy πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† 🀣 🀣 🀣
 
Challenge accepted, natumai na upande wa pili wataiga, hatimae tukate mzizi wa fitna πŸ‘
 
Hapo umekamata kende moja tuu wanapiga kelele je ukikamata na ya pili si itakuwa kilio kikubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya Roads Board wako na website, kila kitu wameanika maps na how to measure, wewe mwenyewe unapima, nilisema kila mti mtakwea utateleza., sasa ukidhibitisha Kenya has 23,000km tafadhali njoo uhadithie na wenzako kama vile baba levo alishuhudia Nairobi akakuja kuwahadithia kupitia wasafi radio., alishangaa hizo uchafu mnapost huku kuhusu Nairobi kwa ground sio vileπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…