Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuliza matako nakuletea sahizi Wacha kuruka Ruka Kila Mahali
Wajaruo mnafuraha kweli sikuizi kwenye huu uzi wajaruo ndiyo mnachangia zaidi kwa sababu mnajua mjaruo mwenzenu anachukua nchi sasa hivi wakikuyu wapo kimya,wakamba kimya wakarenjini kimya [emoji1787][emoji1787] kam komora096 toka akimbilie tz yupo kimya kabisa hataki hata kuisikia kenya maisha yalivyo mepesi tz anakula bata tu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Analeta barabara za kwenye karatasi.
 
Dah umewavua nguo mkuu salute.
 
Weka evidence ya hizo barabara hapa wacha kupiga domo tuu.
 
Mbona Nairobi expressway ina picha luluki kweli a significant road project ikose picha hata moja ni kichekesho.
 
Sasa unauliza swali maembe unataka nani akujibu?
Wewe ulisema kwenye previous post yako kama lpg inakuwa charged 8% VAT hapo mpakani KRA wana haki ya kuingilia hili sakata. Sasa ndio nilikuwa nataka kujua anaye charge 8% vat for Kenya inbound goods ni TRA au KRA? Jibu kama mwanaume acha kutafuta kichaka cha kujificha.
 
Hakuna battle kati ya Kenya na Tanzania. Tanzania tupo mbali mnoo kwenye kila sekta. Hapa tupo kupumzika na kusogeza muda.

Tanzania level zake ni nchi za Southern Afrika zinazojielewa (South Africa Botswana Namibia etc) na baadhi ya nchi za North Africa.
 
Nadhani sgr itaunga Kwenye cape gage Makambako but mzigo Unabebwa kwenda wapi ikiwa inajengwa kuelekea Mtwara?
Mizigo ya zambia Congo Lumbumbashi inaweza ikashukia Mtwara na kuwekea kwa sgr mpaka makambako ikapakiwa kwenye tazara cape gauge while at the same time sgr hiyohiyo ikaendelea mpaka songea, katavi, kaliua na kuunga na kigoma along lake Tanganyika.
 
Atakuwa anakula vyuku huku kwa kwenda mbele na beer bei rahisi
 
Rais Samia ndani ya documentary ya Forbes Africa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220603-141440.png
    251.2 KB · Views: 37
Wacha ukabila wewe. Nyerere baba yenu aliwafunza msiwe na ukabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…