Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara zinajengwa bila mbwembwe ju ni shugli ya kawaida tu. Nyinyi ndio munaitaji hafla ju bado nyie ni washamba tu. 🤣 🤣 🤣
Wacha ujinga wewe, dunia nzima hamna mradi unasainiwa, unaanza kujengwa na kukamilika na kufanyiwa ufunguzi bila ya official ceremony! Labda miradi ya kimagumashi huko Kunyaland!
 
Weka barabara ya 500km iliyojengwa kwa mwaka 2018/2019 na 2019/2020 tuone
 
Hapo umetuongepea wapi 47 ultra modern world class stadiums across all counties?
 
Kwani Raila hakupigwa na kuumizwa kichwani kwenye election iliyopita? Imagine that happens to a prospective president in a democratic country [emoji16]
 
I think this will take a lot of time..
Pitieni hapa kujua some of barabara zilizokuwa completed or on going
 
"Wanaboa" sana as they would say [emoji23]
I wonder how they gain by disputing every data here. Tukiwaambia tumewaacha by far wanafaa kukubali tu. In life you can't win in everything
Tumeleta data za WB kuhusu urefu wa barabara na pia data za Kenya road board ikionesha mtandao wa barabara ambazo ni paved Kenya ni 12k km bado mmpeginga na kushikilia alizo sema Uhuru kwa mdomo. Nani mbishi sasa kati yenu na sie mnabishia hata facts.
 
Tupe budget ya serikali on roads construction kwa hiyo period uliyosema that most roads were built. Tukipata budget zake tutajiridhisha na kukubali.
 
Wacha ujinga wewe, dunia nzima hamna mradi unasainiwa, unaanza kujengwa na kukamilika na kufanyiwa ufunguzi bila ya official ceremony! Labda miradi ya kimagumashi huko Kunyaland!
Cha muhimu ni completion ceremony, hizo zingine sio lazima.
 
Hapo umekamata kende moja tuu wanapiga kelele je ukikamata na ya pili si itakuwa kilio kikubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lete budget ya road sector kwahiyo last 4 years tulinganishe na ujenzi wa hizo kilometers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…