Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ni zaidi ya nusu ya Tanzania kwa ukubwa. Nadhani ulifeli kwenye somo la jiografia. Kenya ni 580,000 sq kms.
Tunaongelea habitable area ni ndogo kama Rwanda na hizo 10k road network mmezijenga wapi kwenye hako kasehemu mnapoishi.
 
Haweki pua hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endelea kuabudu kingereza wkt kazi ya mana huna, pesa huna, elimu huna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu wa Loliondo naona aliwapa hadi uwezo wa kujua hadi random people on the internet πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘
 
Kilometer 10000 zinajengwa kwa billion 300 means each kilometer million 3 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo na compensation tayari 🀣🀣🀣 ni vichaa tu kama ninyi ndio mtaamini huu upumbavu
 
Hii data ni kutoka kwenye authorities zenu, kwa akili yako kilometers 2000 za lami zinaweza kujengwa kwa bei rahisi kuliko kilometers 700

Na kuna uwezekano wa kujenga kilometers 8000 kwa miaka mitatu?

View attachment 2247810View attachment 2247811
Mkunya dawa yake nikuingia nae kwa ground 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Babu wa Loliondo naona aliwapa hadi uwezo wa kujua hadi random people on the internet [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Huna lolote wewe usitake kujipiga kifua hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa standard za Kenya hiyo ndiyo imeisha hiyo, kwani hapo nimeweka miradi mingapi ambayo haijakamilika mpaka leo na inatumika? Kenya is simply a failed state and a shit hole ever.
Wivuuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…