Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheeee Antananarivo imekuwa Dar.

Tangu lini Dar ikawa na plastic wastes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Msifosi tufanane wazee pambaneni na ma slums yenu uko uko, cc tulitumia nguvu kubwa kuifanya Dar ing'are[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakuru county government has gone big on health infrastructure. The county government is currently constructing 7 such facilities spanning 7 constituents in nakuru county


Nakuru is also upgrading its major hospital (the nakuru level 5 hospital) into a level 6 facility
 
Danganyika is extremely filthy. Dar is a slum ni mji mchafu sana sana
Eti mkenya anaita Dar chafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ni report ya 2019
Km of roads network in Tanzania. Kwa sasa tudeal na paved roads tu

TARURA (district roads) = 2,250.69km
TANROAD (Truck & Regional) = 8,671km + 1,808km
Total of paved roads = 12,729.69 km mwaka 2019


 
Hivi vifaru mnanunua nje wakati cc tunatengeneza wenyewe, bora hizo pesa mngetupa cc tuwatengenezee.
then zote ni brand new.!🔥 state-of-the-art artillery. from the first one to the last one i saw today... 🚜🚜 💣💥
 

na wao 2020 wako na 11,000km 🤣🤣🤣alaf anakuja na data za kupika zile ambazo uhuru hutumia kuwadanganya wampe kura tena ili awachezee kende mpaka za wajukuu zao
 
Imebid nitafute hii comment.. kwa kweli imenichekesha sana 😅.. na nyie mnamwamin kweli 2013 mlikuwa na 13,000 km of paved roads. Na yey kajenga 10,000 km of paved roads? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…