Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is leading , mnapenda sifa sana . Labda mna lead kuja kukunua machungwa , ndizi na parachichi Tanzania
 
What's so special about this picture Bro.?
 
😂😂😂 Nimecheka sana, kwahyo unalinganisha NAIROBI na Bunda.? a village center in Musoma district.? Au unachanganyikiwa sasa.? 👇
 
How many kilometers of paved roads does those countries have each?
Unaniuliza na nyie hu Google kila k2?wamewazidi by far..last time I checked Egypt paved nearly 50k kms, Morocco over 30kms
 
nani alikwambia mkuu wa mkoa ofisi yake ipo CBD ?? 😂😂😂😂

kwann unaongea kwa hasira sana 🤣🤣👇
View attachment 2247140
Ile picha inayoonyesha mifereji waki claim kwamba ni kando na ofisini za mkuu wa mkoa ni uongo, ofisi za mkuu wa mkoa zinazungukwa na barabara kubwa kulia na kushoto, na hizo barabara zenyewe hazina vi mifereji vya ile picha walioonyesha
 
Kwasababu ni ya umeme, nyinyi hamjawahi kukuwa na reli ya umeme na hamtakuwa nayo kwa miaka 500 ijayo so you are layman of the party.

Kama ni umeme unawekewa fence, mbona poles Kenya Power ama Tanesco hazina fence?

The tracks are not necessarily electrified. Power is supplied overhead.

Fence ni ya kuzuia wanyama ama watu wasikaribie train tracks, causing accidents and derailments. Kenya's SGR also has a fence the whole way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…