Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am not an economist but if it's true you studied economics then you need to revisit your books. That's all I can tell you
Kumbe hujui kitu ila unabisha tuu..

Kwenye measurements za inflation rate by CPI , huwa kuna selected bundles of items mostly consumed na huwa ndio representatives so hupewa weights tofauti tofauti..

Na kwa uzoefu wangu,items za food hubeba weights kubwa hivyo kuwa na percentage contribution kubwa kwenye inflation rate..

Ndio maana nikamshangaa Gavana wenu kuongeza interest Ili kupunguza kasi ya banks kukopesha na hivyo kupunguza money supply M3..

Swali ,hiyo monetary measure itapunguza vipi inflation ikiwa kwa Kenya , sehemu kubwa ya inflation inaletwa na upungufu wa Chakula kwa sababu za ukame? It will have insignificant effect..

US na Europe kwa ujumla Hiyo mbinu imeshindikana kukabili inflation inayoletwa na shortage ya mafuta,gas na vyakula ndio ije kuwa Kenya?
 
Uhuru akirudi Kwa debe ntampigia kura tena. This man has fully exceeded my expectations. Kudos Mr President.
I agree,he has achieved quite a lot despite having to share out over 350 billion kshs to counties annually which the previous administration could not do because the new constitution hadn’t been promulgated then.
 
This clear explain how we act as your everything yet you kunyans mean so little to us, kiulweli mnawaza Tz mnooo
Kenyans make light moments of everyone, especially politicians - Museveni, Kagame, Trump etc. Don't feel so special.
 
Kumbe nilikuwa sahihi kukupuuza juzi! [emoji23][emoji23][emoji23]

TECNO -N8S!
"This is obviously not a good deal at all. For the same price you can get better smartphones with more RAM/storage and better cameras."
View attachment 2246367
😁😁😁😁😁 maskini itakua inachemka sana 😁😁😁😁😁😁😁😁
 
unless kaswende imeku affect akili ndo uje hapa ukalinganishe mombasa na mwanza

Mombao wa pwani πŸ‘‡πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…