The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Hiyo stand yenu iko under utilised kwa sababu za Bei kubwa ya pango..wenye mabasi walikombia kuitumia.Itabidi mabasi yahudumiwe kwa timetable!
Dar, Arusha na Dom ndio Cities zinaweza rival za Kenya..
No. You are the silly one for arguing with facts.You are silly.
I think the clip was specifically meant for creating awareness.
Ni aibu sana eti Mwanza ndio mji wa pili wa Tanzania, mji umechokaa, ushamba ni mob afadhali Arusha aiseπ, na nimerudia hii kauli mara mingi hapa, asante kwa video clips, usiongeze maneno, zinajieleza vizuri, plus google earth, haudanganyi mtu, yaani ni dhihirisho mko chini sana π π π π π π πnaona umekosa raha na usingizi kufananisha kijiji ambacho hata kwa mwanza hakitoboi kwa kua miongoni mwa modern cities π€£π€£
niliwah kukwambia siku utanionesha modern and clean street kama hzo mombasa nzima unitag nifunge acc πππ mpaka leo hii hakuna hata mdudu mmoja alijitokeza
hebu wewe jitoe muhanga naomba ujiripue kwa niaba ya wengine wote ππππ
The report answers everything, I always want mtu mwenyewe ajionee facts, asiseme ni porojo tukisema, si unajua ni vigumu to convince an average Tanzanian, (not u though)Na report haijasema kua tuna barabara nyingi zenye lami...kuna swali nmeuliza hapo mbona usijibu
Yaani the only planned thing in Tz ni shule kwa wingi, mmezoea unplanned settlement, haupati picha π π π πUnalinganishaje unplanned settlement na hizo planned shule zenu hapo chini.?
[emoji846][emoji846][emoji846] sawa mkuu ngoja tuone labda wataona wanaweza kulijibu in general.Dah hili swali lako itabidi uwaulize wahusika! Timetable inamaanisha pia utaratibu bora.
Unadhani sisi tuna interchange mbili tu kama nyinyi ndo tushinde tukizipost?Kuna miradi mingi sana huwa hatuzipost hapa, zimekua nyingi hadi tunashindwa kukeep trackKama iko [emoji91] mbona hamuipost post [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mzee huyo anatafuta kifo. Sasa wengine wataiga ni bora waweke angalizo mapema pasije pakaleta shida kwa anayefanya hivyo na kuwasababishia majanga wengine,si wote wanapenda mwendo mkali.Ameamua liwalo na liwe. Sheria haziruhusu 180 kph. Hio ni kutafuta kifo hata kama hakuna bumps na kuna interchange katika kila junction siwezi kupiga 180. Sina huo ujasiri.
Hadi Kigogo 2014,pia walimuomba awe anatoa habari za Kenya akawaambia tengenezeni Kigogo wenu [emoji16][emoji16][emoji23]Wakenya wanamjua na kumfollow mpk mange,wanawajua hadi wakuu wa mikoa ya TZ while sidhani kama kuna MTZ anamjua hata VP wa kunyaland
ππππDar, Arusha na Dom ndio Cities zinaweza rival za Kenya..
Hii Mwanza yenu huwa ni kijiji cha wavuvi kwanza kinaaibisha Nchi kuitwa second Biggest City.
Who is Kigogo?Hadi Kigogo 2014,pia walimuomba awe anatoa habari za Kenya akawaambia tengenezeni Kigogo wenu [emoji16][emoji16][emoji23]
You know to use Google search,find him.Who is Kigogo?
Unamuamini huyo hawezi kukwambia kitu chochote kizuri cha Kanda ya ziwa, yeye ni chuki tu kwa kwenda mbele, kila kitu cha huo ukanda ni kibaya.Achana naye.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nilijua huwezi kujibu manake mtihani niliokupa ni wamoto kwasababu mm huwezi nidangnya unanijua vzr π€£π€£π€£π€£Ni aibu sana eti Mwanza ndio mji wa pili wa Tanzania, mji umechokaa, ushamba ni mob afadhali Arusha aiseπ, na nimerudia hii kauli mara mingi hapa, asante kwa video clips, usiongeze maneno, zinajieleza vizuri, plus google earth, haudanganyi mtu, yaani ni dhihirisho mko chini sana π π π π π π π
Unaropokwa kwamba city ambayo ina 5th biggest port in Africa haistahili kuitwa city?nilijua huwezi kujibu manake mtihani niliokupa ni wamoto kwasababu mm huwezi nidangnya unanijua vzr π€£π€£π€£π€£
siku ukipata jibu let me know bro kilio sikitaki kwa sasa
mombasa kwa ninavoijua mm hata kuitwa city haikupaswa πππππ