Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakijipanga miaka kumi mbele wanaweza kucompete Ethiopia air
 
Kuna Wakenya vichwa mbaya. Jamaa anapiga 180 kph kwenye expressway. Kutoka Westlands hadi JKIA distance ya 27 kilometres jamaa anapiga na 7 minutes. 😱😱

kisha utammskia The best 007 akibisha eti expressway ni 7km! only instead of the whole 27km stretch frm Mlolongo to JamesGichuru Rd Junction, Westlands
 
naona umekosa raha na usingizi kufananisha kijiji ambacho hata kwa mwanza hakitoboi kwa kua miongoni mwa modern cities 🤣🤣

niliwah kukwambia siku utanionesha modern and clean street kama hzo mombasa nzima unitag nifunge acc 😂😂😂 mpaka leo hii hakuna hata mdudu mmoja alijitokeza

hebu wewe jitoe muhanga naomba ujiripue kwa niaba ya wengine wote 😂😂👇👇
 
Hilo nalo neno.. thou sijafatilia capacity ya terminal
Kipindi imefunguliwa tulienda kupandia pale lakini msongamano na fujo tulizoziona pale haikuwa poa na tulipandia nje, na hapo mabasi yalikuwa hayajaingia yote.

Labda kuwe na muda tofauti tofauti wa mabasi kuingia na kuanza safari ila ikiwa kama Ubungo ninahisi italeta tafrani fulani hivi labda kuwe kumerekebishwa kwa dosari nilizozielezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…