Leta evidenceWatanzania punguzeni unafiki wa kitoto basi. Sisi ni majirani na tunajuana kwa undani hadi rangi ya chupi tulizovaa. Zanzibar pia kuna ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika katika baadhi ya mahoteli na mabar. Nimesoma articles na kuona videos kadhaa ambapo tourists Waafrika wanaeleza jinsi walibaguliwa huko Zanzibar. Kwa hivyo Watanzania punguzeni shobo tunajua hata huko TZ ubaguzi unafanyika. Msijaribu kupinga kwa maana evidence ni tele mitandaoni.
Cc joto la jiwe
Saaana jinsi ulivyojilisha upepo manzee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787]kali sana mzee.......
🙏🏽🙏🏽please. please don't crucify me dear broda...According to you,lying yourself sounds good.
Wewe ni mpumbavu wa wapi? Nchi yenye higher altitudes than Kunyaland inaweza kubishiwa! Kuna sehemu inaitwa Lushoto ni bomba na massive zaidi ya kilimuru!uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round
nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Hizi hawataki zionekane kabisa, tena ni mjini katikati ndani ya CBD.Huu uchafu huwezi kuukuta huku kwetu mjini katikati.Naona electric poles za miti zikitapakaa Nairobi nzima [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2244456View attachment 2244457View attachment 2244458View attachment 2244459View attachment 2244460View attachment 2244461
That view bwana [emoji95][emoji95][emoji95]
We muuza dagaa ebu ona hapa[emoji116][emoji116] Alafu hii jana tuu huko njombe joto linashukaga mpaka 4 degreesuongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round
nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Umeandika kwa maumivu sana, ukweli unakera aise, sijawasingizia mimi, ni matokeo ya utafiti, zoea mtapona 😂 😂 😂Hapa sasa umeamua kututukana na wala siyo Facts mkuu, iweje tuna utapiamlo wakati tuna organic food kibao kila sehemu, hivi unajua kuna sehemu matunda yanadondoka tu yenyewe shambani?
Siyo kwamba hatuna chakula kwasababu tunashindwa kuafford kwasababu ya umasikini la hasha! Bali ni kutokuwa makini kwa wazazi/walezi kuwapa chakula cha aina moja watoto bila kuchanganya vyakula vyenye virutubisho.
Na hizo sehemu ni chache unakuta wazazi wengi wako busy kutafuta pesa kutokana na huo msimu kuzalisha mazao ambayo ni deal kwa wengine, so wanakimbizana na hela huku wanasahau majukumu ya malezi.
Hii imewahi kutokea Kilimanjaro;sasa hawa utasema ni masikini, Bukoba; utasema ni masikini, Nyanda za juu kusini; hawa nao siyo wanyonge ila unakuta walijisahau kwenye kilimo cha miti na kuacha lishe kwa watoto, lakini wote hawa wako vizuri sana kwenye uzalishaji.
Sisi hatuna njaa,wala shida ya chakula.Malnutrition haitokani na njaa ya chakula ila ni ukosefu wa baadhi ya virutubisho kwenye chakula.
Upande wenu kama watu wenu wanakufa kwa njaa maana yake wamekosa hata maji ya kunywa, hawana kitu chochote cha kuweka mdomoni, pia serikali yenyu haina uwezo wa kuwanunulia chakula wasio na uwezo, serikali yenyu haina uwezo wa kuhifadhi chakula cha ziada baada ya kuvuna chakula chote mmekitumia chote.
Taasisi yenu ya kudeal na majanga haina uwezo wa kifedha wala maono kutunza chakula cha ziada. Msisingizie ukame viongozi wenu ni bomu.
Kiukweli kama Tanzania tuna umasikini mpaka kukosa chakula jiulize nyinyi mtakuwa na hali gani?
Hujaijua Tanzania ndg yangu. Nchi hii ni kubwa na kila sehemu ina hali yake ya jiografia na hali ya hewa. Southern highlands iko mpaka barafu inadondoka hasa Njombe na Mafinga, Sehemu baadhi ya Kilimanjaro hasa Marangu,Kilema, Machame kuko hivi, Arusha,Manyara hasa Mbulu, Babati kuko hivi hivi.uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round
nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Nimemshangaa sana[emoji16][emoji16][emoji16]
Hao watu wa Turkana kabisa unataka kusema Tanzania [emoji1787][emoji1787]..
Mnaoneshwa ukweli mnakataa sijui hamuelewi au ...
Angalia tarehe humo ni ya juzi na ni huu mwaka[emoji116]..
View attachment 2244357View attachment 2244358View attachment 2244360
Atasema ni picha kutoka mitandaoni [emoji846][emoji846]Southern Highlands Isaplano Makete Njombe Tanzania
Safi sana kumbe mpaka video,atajifunza zaidi.Ngoja tumpe somo
Kinyume chake, mimi binafsi siijui nchi yenyu.Hahaha Watanzania wamerogwa na Kenya. Wanatugugo sana. Usiku na mchana mtu ananunua bundle na kukaa chini kuchambua habari za Kenya.
Halafu hao samaki mnatoa wapi Naivasha?construction of an ultra modern fish market at Karai, Naivasha.
View attachment 2244414View attachment 2244415View attachment 2244417
kisha utaskia wakibisha eti kenya tunawaliwaza wao zaidi.Hahaha Watanzania wamerogwa na Kenya. Wanatugugo sana. Usiku na mchana mtu ananunua bundle na kukaa chini kuchambua habari za Kenya.
[emoji848]google.[emoji1431][emoji1431]please. please don't crucify me dear broda...
this Info is directly fresh from Google Inc. . its not me for heaven sake.!
wewe sio Tanzania yote 😂 😂 😂Kinyume chake, mimi binafsi siijui nchi yenyu.