Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo humu ndani habari za maana zinasahaulika mapema yani wameshahasahu hadi hili
 
Tatizo humu ndani habari za maana zinasahaulika mapema yani wameshahasahu hadi hili
Yaani mtu anajipiga kifua kwa 1.3T anasahau mama kaupiga mwingi kwa 1.85T kwa mwaka mmja tuu...

Eti hawaoni miradi mipya πŸ˜‚πŸ˜‚..Hizi hospital hapa zimeanzishwa hii fy year na Mwaka ujao kuna hospital ya Rufaa ya Kanda ya Magharibi inaanza kujengwa
 

Attachments

  • Screenshot_20220517-091836.png
    183.5 KB · Views: 34
Hii record mama yako hata kaa aifikie mpaka tunamzika

Mara nyingi awamu ile na washabiki wake ilikuwa maarufu kwa kupika Takwimu..Hizo Takwimu hapo juu mumezitoa wapi ikiwa kwenye bajeti za serikali kuna vitua 352?

Hata tukifanya ndio zilivyo mama atashindwa vipi ikiwa amejenga vituo vya afya zaidi ya 233 kwa mwaka mmja? Akijenga mwaka wa pili tuu atazipita hizo.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220328-114505.png
    98.7 KB · Views: 31
  • Screenshot_20220402-214712.png
    181.7 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220402-215025.png
    51.5 KB · Views: 33
Alafu mahitaji yanabadilika,kama hosp zimeshajengwa izo hosp zinahitaji vifaa tiba, wataalamu,dawa na vitendanishi...
Kama barabara imejengwa mahitaji yanaweza kia kutoa mikopo watu wafanye biashara na kustawisha maisha yao ..kwann watu wanalazimisha miradi ifanane....
 
Hamna chochote mama yako anafanya JPM hakufika

Wewe ni mburula kama huyo mwenzako,kwa hiyo unazungumzia rekodi ya disemba pekee? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Average ni 1.3 vs 1.8 just in a year.. Kwenye taarifa ya TRA kuna makusanyo ya zaidi ya Til.2 ila sijashadidia kwa Sababu ni nonsense ndio maana nakupa average..

Mwenzio kavuka hayo kwa mwaka mmja tuu..

Uwe unasoma haya maelezo usijifanya blind πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-175905.png
    57.8 KB · Views: 32
Hospital zenyewe hasikuisha,hazikuwa na vifaa wala wataalamu ,mama amemalizia,ameweka vifaa tiba na ajira juu..

Kama Kawaida ya Mwendazake huwa anaanzisha na hamalizii ikiwemo Chato Referral kaimalizia mama ..CAG ameeleza miradi kibao ambayo ilikamilika ila haitumiki kwa kukosa wataalamu,umeme na vifaa tiba mama kafanya vyote hivyo .πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220518-150758.png
    139.2 KB · Views: 38
  • Screenshot_20220517-220756.png
    152 KB · Views: 36
Cha ajabu ni kwamba miradi hii hii alikuwa anaiponda ila kwa sasa anaishangilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unavyosema hazikuwa zimeisha au hazina vifaa kwani jpm halikua amemaliza mda wake
 
Unavyosema hazikuwa zimeisha au hazina vifaa kwani jpm halikua amemaliza mda wake
Kwani hakumaliza miaka 5? Mda gani unataka kufanya justification? Ma failures huwa mna excuses nyingi sana.

Miaka 5 unajenga nini ambacho hakimaliziki? Mbona Samia kajenga vituo vya afya zaidi ya 233 na ameamua mwaka huu kutenga pesa mahsusi kwa ajili ya kuvi equip na vifaa tiba na wataalamu..

Nyie kwa miaka 5 mlitegemea nani aje awafanyie?
 
Magu alikua muongo sana, ilikua the same tu, coz now things have even worsened due to external factors., sio makosa yenu.
Alikuwa muongo hata mm naona, hakununua ndege, hakujenga bwawa la umeme, hakujenga BRT, hakujenga massive bus terminals, hakujenga ports, hakujenga airports, hakujenga markets, hakujenga ferries, hakujenga SGR wala hakujenga meli. Alikuwa muongo sana, viko wapi hivyo vitu mbona havionekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huna ppointi dogo yani mtu ajenge hospitali ashindwe kuweka vifaa nikama vile unasema sisi tunajenga reli ya sgr alafu tushindwe kununua treni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…