Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu,hii ilikuwaje mbona siikumbuki?Naomba unikumbushe tena.

Hawa wanacheka mazoezi ya askari wetu pasipo kujua ndio mazoezi ya utimamu wa mwili, wana mazoezi laini laini na mepesi wanazidiwa na JKT.
Angalia ujasiri wa askari wetu,huyo mwamba wa alieshika chupa nimemvulia kofia 😀, aisee 😀😀
 

Attachments

  • Mshuhudie_sniper_huyu_wa_JWTZ_komando_akifanya_mam(720p).mp4
    29.2 MB
Niliwahi kusema hapa, kula vyakula vya organic kwa nchi tajiri ni anasa. Wanazo mpaka supermarket, kama wholefoods market, kwaajili ya organi food tuu, ambapo kama hauna uwezo kifedha huwezi tia mguu.

Vyakula unavyoweza kujaza nusu ya shopping cart kwa gharama ya $200 Wal mart, Wholefoods utatumia $1000. Sasa utawaitaje watanzania masikini wakati wanakula organic kila siku.
 
Mkuu,hii ilikuwaje mbona siikumbuki?Naomba unikumbushe tena.

Hawa wanacheka mazoezi ya askari wetu pasipo kujua ndio mazoezi ya utimamu wa mwili, wana mazoezi laini laini na mepesi wanazidiwa na JKT.
Al Shabab walipovania Nairobi kwenye Mall na kuua askari mmojawapo alikuwa Samantha the black widow kawachakaza halafu akasepa hawakuweza kumkamata. Samantha ni mzungu wa UK ambaye anajihusisha na ugaidi na alikuwa ameolewa na jamaa ambaye ni Al Shabab.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukipenda kajinyonge. Narudia kwa mara ya tatu kwamba Seychelles is the richest country in Africa. Sitabadilisha kauli yangu kwa sababu chokoraa fulani wa JF anapinga.
 
CCM NI MAVII
 
Ukipenda kajinyonge. Narudia kwa mara ya tatu kwamba Seychelles is the richest country in Africa. Sitabadilisha kauli yangu kwa sababu chokoraa fulani wa JF anapinga.
Sasa utabadilishaje kauli Kama hujui unalozungumza?, Mjinga ni mtu ambaye akielimishwa anajua na kukubali makosa, ila mpumbavu hakubali kubadilika, anaendelea na upumbavu wake hadi anaingia kaburini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kwenye daraja la Tanzanite hakuweka picha yake?
Mother fala sana huyo .... kifo cha magufuli ana husika .. na mm natabiri kuwa huenda akawa rais wa kwanza tz kwenda jela .
 
Wacha niendelee na upumbavu wangu. School drop-out kama wewe unajaribu kunifundisha mambo ya uchumi?
 
😂😂😂 Keyboard worriers bhana.. kwenye mambo ya skyline hakuna taifa lolote duniani linaweza top china .. halafu China itself has more than 500 cities ambapo hiyo Nairobi haiwez kaa kwenye sentence moja with any . Ndio utaje eti NAIROBI itokee kwenye top 500 skylines in the world.. 😂😂😂, which world ar you talking about.?
 
Niliuliza hili swali, kwahiyo per capital ni kipato cha mtu mmoja mmoja au GDP ni utajiri wa nchi nzima?
Watanzania kwa mara ya mwisho, sio per capital ni per capita. Wengine wenu mnaudhi.
 
Wah am shocked. Kweli dar-is-a-slum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…