Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu compare na hizo zenu ambazo hata kichwa hawafuniki na eti imejengwa na serikali. 🤣 🤣 🤣 Munakula nywele za watu.


 
Kwani wewe ujui kuwa picha za slum za kenya na nigeria ndiyo icon ya slum zote africa hivyo utumika picha zenu kuelezea matatizo ya nchi mbalimbali duniani[emoji1787]
hapa imeandikwa vizuri sana kua ni stjwetla, johannesburg, naona una jaribu sana kuforce iwe nairobi

 
Chicken slaughterhouse in Tanzania 🤣 🤣 🤣 🤣



Chicken slaughterhouse in Kenya

 
Wewe ni taahira ulisema hakuna beer ya 1500, nimekuletea unasema hizo sio beer, wakunya zenu chang'aa tu, haya mambo tuachieni wenye uwezo huo!
Hizo mnakunywa ndio chang'aa, ndio maana zeharamishwa Kenya. Huku ukipatikana na Serengeti mkononi seli lazima ukionje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…