Ni wewe ulifunga maji ama?Nimerudia kusoma, ila hujajibu swali langu kuhusu kukosekana kwa maji hapo Nairobi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni wewe ulifunga maji ama?Nimerudia kusoma, ila hujajibu swali langu kuhusu kukosekana kwa maji hapo Nairobi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Spare me the lecture, instead, teach your fella who mysteriously hasn't grasped the concept by now!Unajua maana ya neno " Financial guarantee on PPP?, Lazima kuwepo na madhara kwa serikali ya Kenya Kama hizo pesa hazitorudi, japo serikali haitoi pesa, lakini lazima itoe " financial security"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ningependa kuona budget yenu ya Education amabayo ni the most important element
Ninadhani alimaanisha vitani. Mkono uliteleza tu kaka. Labda aje aseme ndivyo sivyo.virani nnn.???[emoji15] heb nifunze chiswahili
Acha kupayuka kama malaya leta source hapa.Fanya times three utapata budget ya Kenya.
😅😅😅Wewe uwe unaelewa , nimesema Elimu Tanzania inasimamiwa na Wizara mbili tofauti..
Kuanzia form 5 hadi University ni Wizara ya Elimu na pia ndio hutoa miongozo ,sera,mitaala,walimu nk
Elimu ya Kindergarten,msingi hadi sekondari yaani form 4 iko chini ya Tamisemi yaani President's Office Regional Administration and Local Government.
Chukua ile 1.45 Til plus 8.77Til👇
View attachment 2232304
Sasa ukishindwa unaanza kulia...pole joh.Matokeo yake ni kuzalisha Engineers ambao majumba huporomoka kila siku, kuzalisha wasomi wasiopata ajira, wasomi wasioweza kuja na mbinu za kujiajiri, wasomi wasioweza kutatua matatizo ya rushwa, ukabila na mipango mibovu ya nchi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtumba wa fossil fuel at work [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata irrigation schemes na dams unaweza ukajenga kwa PPP[emoji1751][emoji1751][emoji1751] coodip1 how many times will you be told that this was a PPP model? Anyway ulisema bila matusi so ill take that unauliza vizuri so jibu ni kwamba serikali ya kenya ilichangia ksh 0 kwenye hio project.
Toa budget ya police na wengine ibaki ya defence tuu maana hata sisi ya police iko wizara ya home affairs na intelligence iko wizara nyingineKsh 317 bnView attachment 2232313
Yani waache ku utilize capacity iliyopo kwenye kiwanda cha SA wamwage hela kujenga kiwanda Kenya utakuwa upuuzi.Kwa ivo Moderna ni wendawazimu ku invest millions of dollars kwa mambo ambayo haitakuwa profitable?!! Waah hebu waambie wasifungue hicho kiwanda
sababu tu hiki kiwanda hakipo tanganyika.. otherwise ile kelele ingekua hapa.! jah forbid
Kwa ivo Moderna ni wendawazimu ku invest millions of dollars kwa mambo ambayo haitakuwa profitable?!! Waah hebu waambie wasifungue hicho kiwanda
Huyu Anafaa kutafutwa na Moderna ili awafanyie fiscal planning😂😂Wakenya mnachekesha, South Africa imefunga viwanda vya vaccines kwa sababu hakuna wateja eti nyie mnajenga viwanda vya vaccines mtamuuzia nani? 👇
View attachment 2232160
Police iko under home affairs. 🤣 🤣 🤣 🤣 That's a confused country.Toa budget ya police na wengine ibaki ya defence tuu maana hata sisi ya police iko wizara ya home affairs na intelligence iko wizara nyingine
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nyie ndio mko confused majukumu ya police na army ni tofauti how can you bundle them together eti pamoja na intelligence nyie ni vituko sanaPolice iko under home affairs. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] That's a confused country.
Jaribu tena uongo ingineToa budget ya police na wengine ibaki ya defence tuu maana hata sisi ya police iko wizara ya home affairs na intelligence iko wizara nyingine
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Who lied to you they are bundled together?Nyie ndio mko confused majukumu ya police na army ni tofauti how can you bundle them together eti pamoja na intelligence nyie ni vituko sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo ni Mganda aliyeandika. Wacha upuuzi. Unapenda kuattack Kenya hata kwa mambo ambayo hayahusu Kenya. Huoni huyo mwandishi ni Mganda, hapo chini ameandika jina lake pamoja na email yake.Hivi ndivyo ambavyo vyombo vyenu vya habari na viongozi wenu kwa muda mrefu vimekua vikiwajaza ujinga na kuwaonyesha kwamba Kenya Mambo ni mazuriri kushinda nchi zingine, mbona hamjiulizi vitu vya msingi kabisa, kwamba mbona hata maji ya kutumia hapa Nairobi ni shida, Je hata maji pia ni lazima nchi iwe na natural resources?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
FYI JKT is NOT TPDF!Jaribu tena uongo ingineView attachment 2232388
Mnajaribu kudanganya watu ambao wanaeza fanya utafiti mdoogo sana kupata ukweli..these are public documents!
Kwa ivo JKT inapata Tzs 386 billion wakati KDF inapata Kes 128 bn.
View attachment 2232392View attachment 2232393