Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee wewe uko Nchi gani?

Kwanza msimu wa mvua kwa mwaka Jana zimenyesha kidogo Mazao hayajaiva kama miaka ya nyuma,yamekauka mashambani,kwa hiyo mavuno yatakuwa hafifu hii pekee ni sababu ya mahindi kuwa juu,saizi gunia la mahindi ni 50,000-55,000 shambani..na gunia la mpunga ni 70,000-80,000 shambani.

Pili Nchi za Pemba ya Africa zina ukame wa moja kwa moja kwa hiyo walanguzi ni wengi Sana wananunua wanapeleka..

Tatu ni suala mtambuka la kupanda Kwa gharama za usafirishaji kulikosababishwa na bei za mafuta..

Sasa hapo mama anahusikaje? Zaidi zaidi Juzi kule Tabora Rais aliwataka watu watunze chakula kwa sababu Kwa macho yake amesema ameona mimeo imekauka ikiwemo mahindi na alizeti..

On top of that akasema akasema serikali yake itatoa kipaombele kwenye kilimo cha umwagiliaji [emoji116]

View attachment 2232095
Unatoka povu sana okey sawa
 
Unatoka povu sana okey sawa
Sawa tuu kwani Kuna shida gani? Njoo upigie mswaki..

Diplomasia ya Uchumi 👇

Screenshot_20220520-181133.png


Screenshot_20220520-181223.png
 
Mwambieni Kim wa Makombora kwammba hiyo stail anayoitumia imemcost Rais wa Wanyonge na Kiongozi mkuu wa Malaika 😝😝😝😝

Screenshot_20220520-181102.png
 
Wapi budget ya defense kwa Kenya?

Kumbe tuko vizuri kwenye ulinzi,budget ya Tanzania hii hapa [emoji116]

View attachment 2232103
Aisee, imeipita hata ya Elimu. Budget ya mwakani ningeshauri Wizara ya Kilimo iongezewe pesa ili tufanye kilimo chenye tija. Ruzuku iongezwe kwenye mazao ya kimkakati.Wanasiasa wasiingilie hii Wizara na kumkwamisha Waziri, wataalmu waachwe wawe huru kufanya maamuzi.
 
Hawa majiran wakora ukiwaambia expressway yao ni tembo mweupe wanawewuka vibaya sana[emoji23][emoji23]
Kibaya zaidi mali sio yao, ni ya mchina for more than 27 yrs

Umesahau VAT 0% [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Incase of accident hizo steel zinakuja . Now days wanatumia fibers hata kukiwa na collision haiwezi tumia kichwa chako . Ubishi wa kikunya unaleta
Unataka kufunza Isuzu kutengeneza magari? They are certfied gold by Isuzu. Wewe uko certified na nani? Your opinion is useless as EA in TEA.

 
Tofautisha viroba na beer.
Ninyi mkiongozwa na Tony254 huwa mnasema uchumi wenu ni wa services, mambo ya kilimo mmeshavuka

Sasa nikikuambia Tanzania bia ni 1.5k lazima unione mwehu sababu mpo kwenye services economy, kilimo ni level ya Tanzania economy 😅

Huku beer ni cheap sababu raw materials zinakuja locally, endeleeni kufurahia Mombasa kupokea mizigo mingi 😅



Note, hii ni Dodoma ambayo hali yake ya hewa ni sawa na eneo kubwa la Kenya so hapa hamna excuse ya ukame.

FS8MVN3WYAAa8NK.jpeg
 

Tanzania’s Defense budget hits 2.7 trillion


Defense



Summary

  • Among top priorities in the budget is to build capacity and develop infrastructures of the National Service (JKT) to accommodate more youths for skills development.


Beth pic

By Bethsheba Wambura
More by this Author

Dodoma. The Minister of Defense and National Service, Stergomena Tax has said the the country’s borders are safe despite of the attacks of the AASWJ in Mozambique’s northern region Cabo Delgado which borders with Tanzania’s southern region of Mtwara.

She said, the military has been fighting against attacks of the Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ) terrorist group, which has been killing people, destroying property and seizing fire-arms and ammunitions in Mtwara Region.

Defense pic 2


"In fighting these insurgencies, Tanzania People's Defence Force (TPDF), has continued to strengthen security by conducting domestic operations against the group,” she told parliament on Thursday while presenting the revenue and expenditure estimates for the 2022/23 financial year.

She added: The security situation in other borders of the country are equally safe.
Defense ministry 2022/23 budget

The TPDF is conducting operations under the umbrella of the Southern African Development Community Mission in Mozambique (SAMIM) which is an active regional peacekeeping mission to combat terrorism and acts of violent extremism in Cabo Delgado

defense pic3


"These operations have helped to strengthen security in the border area, maintain peace and stability," she said.

Also, Dr Tax said the operations had decreased force of the terrorist group, although it’s not easy because AASWJ has been carrying out attacks by moving from one place to another and changing its tactics.

“Despite the situation, our forces are continuing with mission to ensure the group does not carry out more attacks,” the former executive secretary of Sadc said.

In 2020 Tanzania and Mozambique signed a memorandum of understanding to join efforts in the battle against an escalating armed campaign by ISIL-linked fighters in Cabo Delgado, Mozambique’s northernmost province.

In other development, the Parliament has endorsed Sh2.7 trillion/- budget for the Defence and National Service ministry for the 2022/23 financial year.

Among top priorities in the budget is to build capacity and develop infrastructures of the National Service (JKT) to accommodate more youths for skills development.

Dr Tax outlined other priority areas as purchase of weapons and military equipment that align with the technological and communication advancement in a bid to improve TPDF’s working environment.

Dr Tax

Defense minister, Dr Stergomena Tax tabling her ministry’s estimates on May 19, 2022. PHOTO | EDWIN MHJWAHUZI

She added that the ministry would also conduct research and technological innovation for production of goods and services for the defense forces and the public.

The ministry will also intensify bilateral relationship with the international, continental and regional organisations in the areas of defense and security.

The ministry has also expressed commitment for close collaboration with public authorities in course of calamities during emergencies.

 
😂😂Wakenya mnachekesha, South Africa imefunga viwanda vya vaccines kwa sababu hakuna wateja eti nyie mnajenga viwanda vya vaccines mtamuuzia nani? 👇

View attachment 2232160
Unadhani wanatengeneza vaccine za covid pekee, vaccines ni mingi sana kwa health industry wewe bongo lala. Mbona wabongo hua munapenda kudisplay ujinga in Public. They are putting up a 500 million dollar facility, the first in Africa.
 
Back
Top Bottom