Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi just out of curiosity hii hela ya hii big white elephant ingetumika kujenga dams na irrigation schemes kweli njaa bado ingekuwepo Kenya? Discuss bila matusi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🤦🤦🤦 coodip1 how many times will you be told that this was a PPP model? Anyway ulisema bila matusi so ill take that unauliza vizuri so jibu ni kwamba serikali ya kenya ilichangia ksh 0 kwenye hio project.
 

Tanzania’s Defense budget hits 2.7 trillion


Defense



Summary

  • Among top priorities in the budget is to build capacity and develop infrastructures of the National Service (JKT) to accommodate more youths for skills development.


Beth pic

By Bethsheba Wambura
More by this Author

Dodoma. The Minister of Defense and National Service, Stergomena Tax has said the the country’s borders are safe despite of the attacks of the AASWJ in Mozambique’s northern region Cabo Delgado which borders with Tanzania’s southern region of Mtwara.

She said, the military has been fighting against attacks of the Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ) terrorist group, which has been killing people, destroying property and seizing fire-arms and ammunitions in Mtwara Region.

Defense pic 2


"In fighting these insurgencies, Tanzania People's Defence Force (TPDF), has continued to strengthen security by conducting domestic operations against the group,” she told parliament on Thursday while presenting the revenue and expenditure estimates for the 2022/23 financial year.

She added: The security situation in other borders of the country are equally safe.
Defense ministry 2022/23 budget

The TPDF is conducting operations under the umbrella of the Southern African Development Community Mission in Mozambique (SAMIM) which is an active regional peacekeeping mission to combat terrorism and acts of violent extremism in Cabo Delgado

defense pic3


"These operations have helped to strengthen security in the border area, maintain peace and stability," she said.

Also, Dr Tax said the operations had decreased force of the terrorist group, although it’s not easy because AASWJ has been carrying out attacks by moving from one place to another and changing its tactics.

“Despite the situation, our forces are continuing with mission to ensure the group does not carry out more attacks,” the former executive secretary of Sadc said.

In 2020 Tanzania and Mozambique signed a memorandum of understanding to join efforts in the battle against an escalating armed campaign by ISIL-linked fighters in Cabo Delgado, Mozambique’s northernmost province.

In other development, the Parliament has endorsed Sh2.7 trillion/- budget for the Defence and National Service ministry for the 2022/23 financial year.

Among top priorities in the budget is to build capacity and develop infrastructures of the National Service (JKT) to accommodate more youths for skills development.

Dr Tax outlined other priority areas as purchase of weapons and military equipment that align with the technological and communication advancement in a bid to improve TPDF’s working environment.

Dr Tax

Defense minister, Dr Stergomena Tax tabling her ministry’s estimates on May 19, 2022. PHOTO | EDWIN MHJWAHUZI

She added that the ministry would also conduct research and technological innovation for production of goods and services for the defense forces and the public.

The ministry will also intensify bilateral relationship with the international, continental and regional organisations in the areas of defense and security.

The ministry has also expressed commitment for close collaboration with public authorities in course of calamities during emergencies.

hawa ndo wanaume kamili, achana na hao wenyu

Screenshot_20220421-180902_Gallery.jpg
Screenshot_20220421-172047_Gallery.jpg
 
[emoji1751][emoji1751][emoji1751] coodip1 how many times will you be told that this was a PPP model? Anyway ulisema bila matusi so ill take that unauliza vizuri so jibu ni kwamba serikali ya kenya ilichangia ksh 0 kwenye hio project.
Unajua maana ya neno " Financial guarantee on PPP?, Lazima kuwepo na madhara kwa serikali ya Kenya Kama hizo pesa hazitorudi, japo serikali haitoi pesa, lakini lazima itoe " financial security"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The Sunk Cost Fallacy Naona mnajaribu, ni vizuri ila bado sana. Elimu ndiyo inapewa kipaumbele Kila mwaka huku Kenya, mwaka huu umepewa zaidi ya mara kumi ya bajeti yenu.
Wewe uwe unaelewa , nimesema Elimu Tanzania inasimamiwa na Wizara mbili tofauti..

Kuanzia form 5 hadi University ni Wizara ya Elimu na pia ndio hutoa miongozo ,sera,mitaala,walimu nk

Elimu ya Kindergarten,msingi hadi sekondari yaani form 4 iko chini ya Tamisemi yaani President's Office Regional Administration and Local Government.

Chukua ile 1.45 Til plus 8.77Til👇

Screenshot_20220520-164500.png
 
The Sunk Cost Fallacy Naona mnajaribu, ni vizuri ila bado sana. Elimu ndiyo inapewa kipaumbele Kila mwaka huku Kenya, mwaka huu umepewa zaidi ya mara kumi ya bajeti yenu.
Matokeo yake ni kuzalisha Engineers ambao majumba huporomoka kila siku, kuzalisha wasomi wasiopata ajira, wasomi wasioweza kuja na mbinu za kujiajiri, wasomi wasioweza kutatua matatizo ya rushwa, ukabila na mipango mibovu ya nchi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The Sunk Cost Fallacy Naona mnajaribu, ni vizuri ila bado sana. Elimu ndiyo inapewa kipaumbele Kila mwaka huku Kenya, mwaka huu umepewa zaidi ya mara kumi ya bajeti yenu.
Tuongee kiungwana, je thamani ya pesa itaonekana na kuja na matokea chanya au itabaki kuumiza wananchi kwa miradi hewa na pesa kupigwa na watu wachache?
 
Back
Top Bottom