Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe hii umeitoa nchi gani wakati hapo kwenu hata neno BRT hakuna?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani wanatengeneza vaccine za covid pekee, vaccines ni mingi sana kwa health industry wewe bongo lala. Mbona wabongo hua munapenda kudisplay ujinga in Public. They are putting up a 500 million dollar facility, the first in Africa.
Jamaa president wa kwao aliuliwa na corona sababu ya hii ignorance unaona wakidisplay hapa
 
Hivi ndivyo ambavyo vyombo vyenu vya habari na viongozi wenu kwa muda mrefu vimekua vikiwajaza ujinga na kuwaonyesha kwamba Kenya Mambo ni mazuriri kushinda nchi zingine, mbona hamjiulizi vitu vya msingi kabisa, kwamba mbona hata maji ya kutumia hapa Nairobi ni shida, Je hata maji pia ni lazima nchi iwe na natural resources?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe primary school drop out, jifunze kusoma hadi umalize kabla ya kuropkwa. Rudi usome hadi mwisho utapata jina la Author na location yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…