Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

baadhi ya wale washamba,ni hawa hapa chini...

better our Kenyan made ma3 rather than being carried by this hectic BRT

Kuna mabasi kama hayo hapa kenya lakini sijawahiona mtu yeyote amejishikilia kwenye hizo hanger, na sio kutokujua ni za kazi gani lakini sheria zetu hazituluhusu kusima kwenye mabasi kama gunia za carrots

jasho inanuka kwa hiyo BRT ni mungu tu anajua....ati nisimame hivi hadi Thika for one and a half hours ......pwahahaha

haiwesmek
.

aibu kubwa sana kwa ibiria kusimama kwa matatu katika nchi ya kenya-DC (developed/developing country)

763e528c2635b8de2ca67c0253ac57f1.jpg
 
Hivi unajua kwanini tunawashangaa hivi? wenzeni walipinga sana hii kitu kusimama kwenye public transport na wametukana kila tusi, angalia post za nyuma , tuliwatumia hata mabasi ya london, lakini wakasema wao kenya hamna vitu kma hivyo, sasa na wewe hapa unaonekana kituko tena kwa kubali hadharani hivi hivi wakati wenzako huko nyuma walikua wanatapika pumba. too bad hamweleweki.
sasa kwa sababu wakenya wenzangu wanasema kuwa abiria huwa hawasimami kwa mabasi za BRT ina maana kuwa mimi pia lazma nikubaliane? tumia akili ww...uskue kilaza..mimi nimekuwa amsterdam na nimewaona abiria wakisimama kwa tram trains na basi...
 
We have asked you a million times, Give as a picture that shows that Dar is a city.
let me satisfy your ego my friend,actually dar isn't a city...just a fishing village along the coast of indian ocean.

e12493e0e3fd4f6e6649ee03b3cc84dc.jpg

hope you're feeling better now.
 
sasa kwa sababu wakenya wenzangu wanasema kuwa abiria huwa hawasimami kwa mabasi za BRT ina maana kuwa mimi pia lazma nikubaliane? tumia akili ww...uskue kilaza..mimi nimekuwa amsterdam na nimewaona abiria wakisimama kwa tram trains na basi...
Ndio maana kadoda aligusia hilo unawezekana umetoka nje umeosha macho. waswahili wanasema Samaki mmoja akioza wote wameoza, mmetushangaza tu automatically sio Mimi peke yangu . Na Hizi thread zimetufundisha vitu vingi sana kuhusu forumers wa kenya. Exposure zero ushamba A+,

Don't be mad though, try to understand.
 
This ones are taken beyond 20+ Km from Westlands and CBD Nairobi
CyGXcCUXgAA68K8.jpg


CyGXgPlXgAA93VC.jpg


Even the CBD cant be seen properly due to the distance from where the pictures were taken
 
All Nairobi city is an antiquity Nairobi ni jiji LA kale linafaa lote liwe museum

spensa_e

Coastal Towns Like Mombasa, Zanzibar and Dar es Salaam are centuries older than Nairobi. They were started by the Arab during the long distance trades and Slave trades.
 
Back
Top Bottom