Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

z hotel znz
45599502.jpg
3675918_117_z.jpg
04_Z-Hotel-infinity-pool-at-night.jpg
108020_z-hotel-zanzibar_.jpg
the-z-hotel-rooftop-bar.ashx
56a6a065b627cde43307e863_zhotel-Dining-Home-page.jpg
8254-2.jpg.1366x768_q85_crop_upscale.jpg
45599269.jpg
no way,this can't be Zanzibar....hii ni mombasa...Zanzibar haiwezi kuwa nzuri namna hii...
 
aibu kubwa sana kwa ibiria kusimama kwa matatu katika nchi ya kenya-DC (developed/developing country)

763e528c2635b8de2ca67c0253ac57f1.jpg
 
repost:
aibu kubwa sana kwa ibiria kusimama kwa matatu katika nchi ya kenya-DC (developed/developing country)

763e528c2635b8de2ca67c0253ac57f1.jpg
 
mbona watu wanasimama mpaka kwenye BRT mkuu?
sisi kwetu sio jambo la kushangaza,kwasababu tayari BRT zetu zimeandaliwa mahususi kwa ajiri ya abiria kusimama.

issue ni hawa wakenya wenzako washamba wa hapa JF,huwa wanastaajabu wanapoona picha zinazo onyesha abiria wamesimama kwenye BRT yetu.
 
abiria wanasimama mpaka kwa light rail...nenda addis ababa ujionee...hata marekani...sio jambo lakushtua ila nyie mpaka kuku, mbuzi na bata huwa mnasafirisha kwenye BRT...yaani mnachekesha kweli...
 
abiria wanasimama mpaka kwa light rail...nenda addis ababa ujionee...hata marekani...sio jambo lakushtua ila nyie mpaka kuku, mbuzi na bata huwa mnasafirisha kwenye BRT...yaani mnachekesha kweli...
angalau wewe kidogo unauelewa wa hili jambo,inaonyesha ulishawahi kutoka nje ya kenya na kujionea utaratibu tofauti wa town buses katika nchi nyingine.

inabidi elimu hii uwaelimishe hawa wakenya wenzio wa JF ambao wana-lack exposure na kutofahamu utaratibu wa BRT katika mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom