NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Hivi unajua kwanini tunawashangaa hivi? wenzeni walipinga sana hii kitu kusimama kwenye public transport na wametukana kila tusi, angalia post za nyuma , tuliwatumia hata mabasi ya london, lakini wakasema wao kenya hamna vitu kma hivyo, sasa na wewe hapa unaonekana kituko tena kwa kubali hadharani hivi hivi wakati wenzako huko nyuma walikua wanatapika pumba. too bad hamweleweki.abiria wanasimama mpaka kwa light rail...nenda addis ababa ujionee...hata marekani...sio jambo lakushtua ila nyie mpaka kuku, mbuzi na bata huwa mnasafirisha kwenye BRT...yaani mnachekesha kweli...